Faida ya sumu ya nyuki(endepo atakugonga nyuki mmoja.

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Nyuki ni moja ya kundi la wadudu hatari sana ulimwenguni,wadudu hawa wana sumu kali wakikugonga unaweza kupoteza MAISHA kutokana na sumu yao. Ila maajabu ni kwamba nyuki huyu ndo mtengeneza asali.
Asali ni bidhaa adimu duniani,hii asali ni tiba asili na inatibu magonjwa mengi sana katika mwili wa binadamu pia asali inaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa mwili nguvu pamoja na kuondoa ile hali ya kusahau sahau.
Leo nataka nikupe faida ya nyuki na sumu yake kwenye mwili wa binadamu, hiyo sumu ambayo unaweza kuipata kama nyuki atakugonga mmoja lakini itasaidia kukupa kinga ya mwili na kuondoa baadhi ya maladhi yanayokusumbua mwilini.
Hayo ndo maajabu ya sumu ya nyuki.
.. asante Kwaleo ngoja niishie hapo kwa maswali zaidi acha comment yako hapo chini
Naitwa @kimodomsafi_ na hii ni Mwaro Tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom