cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
Mbona kwa comment yako una force watu kuchangiaKinachotakiwa ni pesa,mambo ya bima unayajua wewe.Kama ana asset, ndugu na jamaa wanatakiwa waanze kuuza,kwani uhai ni bora kuliko mali.
Sent using Jamii Forums mobile app