Faida ya kuwa na mali nyingi ni nini kama wakati wa shida hazikusaidii?

Bima zetu nje hazifanyi kazi, kuna makampuni ya bima ya kimataifa ukiwa nayo unatibiwa popote pale duniani ila gharama zake za kuipata ni kwi kwi..

=Cigna Global Insurance
*SILVER: $1,000,000 / €800,000 / £650,000
*GOLD: $2,000,000 / €1,600,000 / £1,300,000
*PLATINUM: Unlimited
Ndo hivo ka una kajiwezo na unajijua matatizo yako ni beyond nhif ni kujikwamua kukata hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
Kama zile mali wanazosema za kwao ni kiki, basi inabidi watubu na wakome kuongopa mali au wanaShare sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
familia haijataja kiasi gani Ruge ili atibiwe,halafu kuendesha kote ile kampuni kweli wakuomba matibabu hata ya millioni 10 ?????? nasiye makapuku tusemaje?
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
Hivi nani aliwaambia CMG ya Ruge?
 
Ndo hivo ka una kajiwezo na unajijua matatizo yako ni beyond nhif ni kujikwamua kukata hyo

Sent using Jamii Forums mobile app

kulipa bilioni 2 kwa mwaka.. ni nyingi hata bakhressa anaweza asikate. ni bora ujitibie kwa cash tu..

ikatokea mwaka hujaumwa bilioni 2 imeenda bure..

kumbuka bilioni mbili ni milioni moja moja ziwe 2000
 
Mimi nasubiri auze kila kitu afilisike kabisa hadi akakae kwa ndugu au akapange ndio tamchangia..ashawanyonya sana wana yule,ashawagonga sana dada zetu kwa kigezo cha pesa zake afu leo atuombe sisi masikini msaada,anatakiwa akumbuke kuwa mungu hadhihakiwi,na malipo ni hapa hapa duniani...acha ale kiinua mgongo cha matendo yake kabla hajakata pumzi...
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
Anataka piga watu... Yani ni fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae umekazana kila nyuzi kubishana kuhusu bima halafu hujaingia hata kune website zao ukaona products...em kasome kune mawebsite huko utaona...zipo acha ubishi
mbona unazunguka.. bima zetu nyingi ni tunalipiwa na waajiri.. nikakupa mfano hata wakati nipo embassy bima ilikuwa haitutibu nje.. nikakupa mfano wa mzazi.. ama tundu lissu.

kwa akili yako unafikiri ruge ni mjinga kutojua umuhimu wa bima? unajua familia aliyozaliwa ruge. uwezo wao kiakili na hata kifedha?

unataka kusema baba yake ruge professa mutahaba aliemsomesha ruge marekani degree yake asijue umuhimu wa bima ya afya?

nikakupa mfano wa tundu lissu. hapo agha khan kenya tu.. so unahisi tundu lissu hana akili ya kujua umuhimu wa bima? au mbowe na chadema wote ni wajinga hawajui umuhimu wa bima kuokoa gharama??

bima zetu nyingi za ndani zina limit.. na ndizo tunazitumia..

unataka kusema wewe una akili kuliko ruge? au baba yake ruge, au ukooo wa kina ruge wenye kila aina ya maendeleo wasijue maana ya bima??

weka mambo kiuhalisia.. usilazimishe ushindi hata sehemu zisizo sahihi..

sijakataa zipo bima zinazokutibu hata ucla alipofia michael jackson?

lakini hizo sio hizi bima tunazolipia milioni 1.5m, 5 ama hata 10m kwa mwaka waajiri wanazotukatia..

bima karibu zote tulizo nazo watanzania hata wabunge na ma ceo . hazitibu nje ya nchi.. hadi kibali maalumu na mkata bima aweke mahela ya ziada akipata dharura ya nje ya nchi.. ama ajitibu mwenyewe nje ya nchi..

nimepinga kusema ruge hana bima.. maana hata wafanyakazi anaowaajiri tu clouds kina mchomvu na mbwiga anawapa bima.. sema bima yake ndio zile zetu za kibongo bongo.. ikijitahidi sana mwisho agha khan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae umekazana kila nyuzi kubishana kuhusu bima halafu hujaingia hata kune website zao ukaona products...em kasome kune mawebsite huko utaona...zipo acha ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app

niliokuwa najenga nao hoja.. wanaelewa. wewe umetoka huko tu na kashfa.. why unanifatilia kama unaona nakuboa... ukiona kitu kinakuboa achana nacho...

wenye akili wameweka mpaka hizo package za dola milioni moja kwa mwaka.. tumeona humu...

ukiona mtu anakuboa.. achana nae.. huna haja ya kumfatilia.. utaishi kwa amani sana

ni vizuri usinge hata quote comment zangu.. uwe na amani na furaha tele.. sizani kama nahitaji kubishana na wewe chochote
 
habari wadau.

maana ya kuwa na asset na mali nyingi ni nini?

kama hata ukiumwa hazikusaidii chochote unabebesha mzigo wengine..

tujadili hili kazi ya asset ni nini?

je tunatafuta mali za kazi gani?

sio roho mbaya au nzuri.. tujenge hoja kwa akili
Wanadai alishauli nape, ndivyo wanavyosema maaana yake suala limeletwa na wanasiasa, fahamu kila jumbo linalozungumzwa na mwanasiasa hilo ni siasa yani ni upuuuzi, wanasiasa huongea siasa tu kuwalaghai wananchi na kutafuta kick nape ameleta siasa kwenye jambo la msingi.

Kikubwa imetumika siasa, ubachangiaje mtu mwenye majumba? Eti mbona yeye amesaidia watu Sana, pointless kabisa hata watakaochangia watachangia kisiasa na kutaka kick, ni kweli Wakati mwingne totoke ndani Ya box tupase Sauti, maana kumchangia mtu mwenye assets kibao sio kweli na sio haki kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tegemea kupata pm nyingi sana wiki hii.

Maendeleo hayana chama

pm za nini? kwani kazi ya mzee wako unairithi ??

hizo ni dhamana tu,... angalau angekuwa na kampuni kama bakhressa unajua nawe utarithi sababu ni yenu familia.. unaanza kujidai
 
Back
Top Bottom