Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,088
- 8,221
Huo ni aina ya utapeli ambapo wanataka wasitumie gharama kwenye matibabu yao. wenye mali wanawaomba masikini kugharamia matibabu yao. yy kipindi hajaumwa amesaida wangapi?hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..
nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...
faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi