Faida ya kuwa na mali nyingi ni nini kama wakati wa shida hazikusaidii?

pm za nini? kwani kazi ya mzee wako unairithi ??

hizo ni dhamana tu,... angalau angekuwa na kampuni kama bakhressa unajua nawe utarithi sababu ni yenu familia.. unaanza kujidai
Tatizo dada zetu hawalijui hilo na ukitaka kuamini we kua dereva hata wa STK au STL uone balaa lake.

Maendeleo hayana chama
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
hayo unayosema pengine kashayafanya, kwanza uginjwa wake unaonekana ni mkubwa sana na kaumwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo nimejifunza zaidi kupitia hili,.narudia tena hichi nilichosema"kila jambo na wakati wake na majira yake chini ya jua"...

Tuombeane pia,hili nalo litapita.
 
habari wadau.

maana ya kuwa na asset na mali nyingi ni nini?

kama hata ukiumwa hazikusaidii chochote unabebesha mzigo wengine..

tujadili hili kazi ya asset ni nini?

je tunatafuta mali za kazi gani?

sio roho mbaya au nzuri.. tujenge hoja kwa akili
Kwa mada yako hiyo, unautetea umaskini maana huwezi jua mpaka sasa mtu huyo anaendelea kuishi kutokana na mauzo ya assets zake ambazo zimempatia malipo ya kutibiwa mpaka sasa na huku zikiendelea kufika ukingoni.
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
Mkuu nachelea kusema kama zote zilikuwa mali zake... What if ni shares na anategemea gawio kiasi kila mwaka? Na pengine sehemu nyingine ni mwajiriwa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
Mpaka Ommy Dimpoz kawashinda... Kaugua karibia mwaka mzima lakini hakuna siku alitembeza bakuli!!

Hili la Ruge hata mimi sijalielewa kabisa!!
 
Asee 6M sio rahisi kwa kila siku, yani hapo watafute ma nguli wa forex betting tu. Wawategeshee pips za ku scalp hata million 10 tu kila siku aisee. Otherwise mambo yatakuwa mazito sana siku si nyingi!
 
Ujue huyo hana mali kama huyo mtu hawezi kujitibu kwa mali zake... Basi anapesa ya mboga... Wenye mali akina MO , bakharesa, dangote na akina bilgate...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nasubiri auze kila kitu afilisike kabisa hadi akakae kwa ndugu au akapange ndio tamchangia..ashawanyonya sana wana yule,ashawagonga sana dada zetu kwa kigezo cha pesa zake afu leo atuombe sisi masikini msaada,anatakiwa akumbuke kuwa mungu hadhihakiwi,na malipo ni hapa hapa duniani...acha ale kiinua mgongo cha matendo yake kabla hajakata pumzi...
Heeeee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine tunachanganya dhana hizi mbili: Utajiri na Umaarufu. Watu wengine ni maarufu tu, but in actual fact they not rich at all, na wengine ni rich but not popular. Shida ni pale unapokuwa misperceived to be rich while in actual fact you are simply popular and not rich.
 
We kaka kunamtu kakulazimiza kumchangia? Yaaani unaamini Ruge anabillion 5 yakujitibia? kwabiasharA ipi? sio lazima kila kitu Ulete uzi humh

Sent using Jamii Forums mobile app

je matibabu yake ni bilioni 5? bilioni moja tu haifiki.. hata price zinazotajwa kuna uwezekano mkubwa zimekuwa inflated.. na pia tatu mzuka inagawa mapesa kila wiki kwa washindi.. why isimpe mmiliki wake nae atibiwe.. au tatu mzuka sio ya ruge

yeye ni wa kwanza kuumwa figo?

je wengine wanaoumwa wanafanyaje?

swali lililoulizwa kwenye huu uzi.. ni kuna haja gani ya kuwa na mali nyingi na kuitwa tajiri.. lakini ukiumwa tu unabebesha mzigo wengine..

omy dimpoz ana kipato kidogo tu... ameumwa hatujaona bakuli kwenye media wala popote.. kama alichangisha.. ila ni kimya kimya bila kusumbua watu kwa matangazo ya michango
 
pm za nini? kwani kazi ya mzee wako unairithi ??

hizo ni dhamana tu,... angalau angekuwa na kampuni kama bakhressa unajua nawe utarithi sababu ni yenu familia.. unaanza kujidai

Msome tena Mgugu maana vifungu viko kwenye post yako aliyo-quote.
 
Back
Top Bottom