Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

Anayeweza kuinvest time na nguvu kufanya hii kazi, funga rambo, wait for up to 3 hrs etc hali yake ni dhofuli sio tu kwenye kichwa cha dushe, bali hata kwa kichwa kikubwa.
 
Chakula bora na mazoezi yanatosha kabisa kuzidisha hata hayo masaa yako
 
Ungese huo sifanyi!

Nguvu zangu asili na uzoefu kidogo wa hako kamchezo vinantosha sana kufika hayo masaa yako mawili

Hayo malailoni na herbs jiuwe navo ww na vibamia wenzio
 
Hiyo inaitwa chambo.

Ukitaka mambo kwa kina unaingizwa chaka.

Jamaa anajitangaza bila nyinyi kujua
 
Heeee mashindano au?
Watu mkiwa katika hisia zinazolandana wala hamna haja ya karafuu na herbs nyinginezo...
Mnaenda na flow tu.
Halafu wanawake % kubwa wanafika kwa foreplay kuliko hata intercourse.

Na mwisho wa siku usishindane na papuchi ni kama tumbo.
Kweli papuchi ni Kama tumbo, afadhal umesema hili wengi tupone
 
Heeee mashindano au?
Watu mkiwa katika hisia zinazolandana wala hamna haja ya karafuu na herbs nyinginezo...
Mnaenda na flow tu.
Halafu wanawake % kubwa wanafika kwa foreplay kuliko hata intercourse.

Na mwisho wa siku usishindane na papuchi ni kama tumbo.
Kwa taarifa yako tu mwanamke akiwa na feelings za kutosha kwa mwanaume ni kweli anafika fasts tu but ukiwa hivyo kwa mwanaume ni dkk ametema so kwa mwanaume lazima kuwa na mechanism ya kujihold buck la cvyo utamwaga fasta mpaka utakapoanza kumzoea
By the way sioni haja ya yoote hayo ya mtoa mada coz ni mateso tu ya kisaikolojia ila sie wengine tunauwezo wa kuunganisha double sometime nachelewa hadi pumzi inakata bila hivyo viwatilifu
 
Mimi sio kilaza.
Km siyo kilaza povu la nini? Mbona kuna watu wanaambiwa walale na mganga wanafanya. Angalia mambo yako. Acha mambo ya kuniquote ovyo. Haujalazimishwa uniquote. Ww jamaa vip
 
Mimi nina dawa moja matata sana huwa naitumia. Hii ukiitumia unapiga masaa 6 bila kupumzika (non-stop).
Chukua pilipili mbuzi 2 au kichaaa 6 zilizokomaaa.
Zitwange au ziponde ponde mpaka ziwe kwenye hali ya umaji maji. Ukishamaliza chukua glass au chombo chochote weka. Hapo tulia mpaka muda wa kuanza kupata tamu. Paka kwenye dudu kisha na mpenzi wako mpake kwenye kitumbua chake. Anza kula mzigo.
Usisahau kuleta mrejesho
Yote hayo ya nini?! Kwani mnakomoana ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom