Faida ya CHAFYA wakati wa Tendo la Ndo...

Faida ya CHAFYA wakati wa Tendo la Ndo...

nimefurahije leo umeplay it naaaasty!ahahahhahahhah siku moja moja sio mbaya!za siku kaka angu?
Nipo poa aisee, hofu kwako mdogo wangu. Pacha wako SnowBall yupo? Anyway nilikuwa najaribu kutahadharisha maana hizi tafiti ni muhimu kuzihakiki kabla ya kuzirecommend au kuzitumia.
 
Last edited by a moderator:
Nipo poa aisee, hofu kwako mdogo wangu. Pacha wako SnowBall yupo? Anyway nilikuwa najaribu kutahadharisha maana hizi tafiti ni muhimu kuzihakiki kabla ya kuzirecommend au kuzitumia.
my pacha SnowBall kajaa tele,leo kaja na kujitete kimtindo eti kwa nikichapa mara moja nimecheat,sijui kabugi wapi kaka yangu mimi aliyeniachia ziwa!
 
Last edited by a moderator:
Chafya za nini tena wakuu wakati wa mambo yetu yale,au hamfui vyupi?
 
Chafya za nini tena wakuu wakati wa mambo yetu yale,au hamfui vyupi?

bwana wee eti chafya inaongeza maufundi!ahahaahahahah hizi tafiti nyingine hizi kuna siku mtasema kupikia jiko la gesi mara kwa mara inaongeza raha wakati wa mchakato!
 
my pacha SnowBall kajaa tele,leo kaja na kujitete kimtindo eti kwa nikichapa mara moja nimecheat,sijui kabugi wapi kaka yangu mimi aliyeniachia ziwa!

Haujacheat kabisa, ni kuwa umeonja kidogo tu haina shida ni sawa na mkeo kuchapwa mara moja tu, atakuwa hajacheat hata kidogo na wala hautaumia moyo kabisa, Lol!!!
 
Haujacheat kabisa, ni kuwa umeonja kidogo tu haina shida ni sawa na mkeo kuchapwa mara moja tu, atakuwa hajacheat hata kidogo na wala hautaumia moyo kabisa, Lol!!!
SnowBall njoo huku usikie watetezi wako!
of all the people leo kaka HorsePower kafunguka kimrengo wa kina Kaizer et al, mweh!
wanaume mna hila nyie hapa ningesema mimi ndo nimetoa kipochi manyoya mara moja tu tena wala haikuingia yote japo huwa haina mabega,sijui mngenizozomokeaje!?haya bwana!
 
Last edited by a moderator:
bwana wee eti chafya inaongeza maufundi!ahahaahahahah hizi tafiti nyingine hizi kuna siku mtasema kupikia jiko la gesi mara kwa mara inaongeza raha wakati wa mchakato!

umeona eeh,kila kukicha tunaona mambo mageni kwenye mapenzi duh,kweli kiama kimefika
 
chafya...kamasi...! dah...! Nimeamini ngono ni uchafu...!
 
Mmh hizi theory nyingine jamani, yaani uache kufanya kazi iliyokupeleka unakazana kutafutiza chafya!
hapo mie ndo nashangaa,, mimi nikiwa katika kazi ile muda wa chafya unatoka wapi!!!!. hata kama nina mafua ya aina gani, mpaka kazi iishe ndo chafya baadae. chezeya K wew
 
hizo chafya inabidi kupigwa mara ngapi?...bila shaka inabidi kuwa na bakuli la pilipili au vumbi pembeni.

Ugoro wa yero maasai lazima uhusike ili kwa wote wanahusika kwa chafya.
 
Back
Top Bottom