Faida ya CHAFYA wakati wa Tendo la Ndo...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Hapa wataalamu mtaniambia,Kwamba kupiga chafya wakati wa Tendo la ndo huongeza Raha na hamu ya kulitendea haki zote tendo hilo...
Kwa mwanamke chafya yake humshtua Mwanaume na kuna nguvu fulan huonekana kama inasukuma nje Mr P,hupelekea mwanaume kuirudisha kwa ufundi mkubwa,Mwanaume Apigapo chafya hushtuka na kushtuka kwake hupelekea Mr P kuzama zaidi na Kumkuta Gspot...je yana ukweli haya.
 
chafya zingine huwa zinajirudia sasa ile adha ya toa wekax2 inasumbua, na wengine ukipiga chafya kibamia kikitoka inabidi uanze upya kukibust
 
Tatizo lako binafsi,tafuna sana tangawizi litaisha
 
Mi nimepita tu....nashukuru nimeongeza umri kwa kucheka...
 
chafya zingine huwa zinajirudia sasa ile adha ya toa wekax2 inasumbua, na wengine ukipiga chafya kibamia kikitoka inabidi uanze upya kukibust

U made my day aisee.......................
 
  • Thanks
Reactions: awp
mi nasubiri faida za haja kubwa...wakati wa tendo
 
Hapa wataalamu mtaniambia,Kwamba kupiga chafya wakati wa Tendo la ndo huongeza Raha na hamu ya kulitendea haki zote tendo hilo...
Kwa mwanamke chafya yake humshtua Mwanaume na kuna nguvu fulan huonekana kama inasukuma nje Mr P,hupelekea mwanaume kuirudisha kwa ufundi mkubwa,Mwanaume Apigapo chafya hushtuka na kushtuka kwake hupelekea Mr P kuzama zaidi na Kumkuta Gspot...je yana ukweli haya.

Siyo ukipiga chafya wakati wa tendo Mr P ndo anaweza kuchomoka hususan kama hana saizi ya kutosha?! Uzoefu na utafiti mdogo umebaini kuwa kupiga chafya huvuta tumbo ndani na eventually kum-vuta Mr P nje badala ya ndani!

--
 
hahahah ni bora kubania kachafya kako maana utamwaibisha bure unasikia puruchu alafu kanasinzia
 
Siyo ukipiga chafya wakati wa tendo Mr P ndo anaweza kuchomoka hususan kama hana saizi ya kutosha?! Uzoefu na utafiti mdogo umebaini kuwa kupiga chafya huvuta tumbo ndani na eventually kum-vuta Mr P nje badala ya ndani!

--
nimefurahije leo umeplay it naaaasty!ahahahhahahhah siku moja moja sio mbaya!za siku kaka angu?
 
hizo chafya inabidi kupigwa mara ngapi?...bila shaka inabidi kuwa na bakuli la pilipili au vumbi pembeni.

si unajua kuwa sijakuona siku nyingi enh!?upo rafki yangu!
 
Mmh hizi theory nyingine jamani, yaani uache kufanya kazi iliyokupeleka unakazana kutafutiza chafya!
 
Naomba kuuliza hivi hii theory inatumika hata kwnye 0713??!
 
Back
Top Bottom