Faida 9 za kufanya mapenzi angalau mara moja kwa wiki

Faida 9 za kufanya mapenzi angalau mara moja kwa wiki

Bora umemwambia aisee...
Manake nahsi baada ya Ukimwi janga lingine la kitaifa ni Kiinglish...nasikia kilikuja na ndege!

Hakuna za Kiswahili ........ J2 kama leo kingereza huwa ni kigumu sana......
 
Bora umemwambia aisee...
Manake nahsi baada ya Ukimwi janga lingine la kitaifa ni Kiinglish...nasikia kilikuja na ndege!

Sio Ndege......ilikuwa kwenye titanic.......na si unajua masahibu yaliyoikumba meli ile........
 
Hatuwezi kupata toleo la kiswahili tafadhali????

Na haka ka lager niliko onja daaa

Naona maruwe ruwe lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora umemwambia aisee...
Manake nahsi baada ya Ukimwi janga lingine la kitaifa ni Kiinglish...nasikia kilikuja na ndege!
SnowBall hii imenichekesha saaanaa aiseee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Bora umemwambia aisee...
Manake nahsi baada ya Ukimwi janga lingine la kitaifa ni Kiinglish...nasikia kilikuja na ndege!

Ndege na meli pia kingine kikabaki angani na kingine baharini ndo mana not reachable.......
 
View attachment 81026 KAMA ZINAFAHAMIKA ITAKUWA VEMA LAKINI SIYO MBAYA KUJIKUMBUSHA.
  1. Get fewer colds because of an increase in immunoglobulin A, an antibody that fights infection
  2. Women can get more predictable periods because of exposure to male pheromones
  3. A better physical response to stress
  4. Lower blood pressure, which lowers your risk of heart disease
  5. Lower your bad cholesterol and increase your good cholesterol
  6. Help tone your abs, gluts and pretty much any muscle in your body
  7. Natural increases in estrogen improve the appearance of your hair, skin and nails
  8. Improve your memory because blood flow increases to your brain
  9. Increased feelings of motivation because of the release of endorphins


Mkubwa mie nina ombi moja tu la tafsiri plz maana kiingilishi noti richabo
 
KAMA ZINAFAHAMIKA ITAKUWA VEMA LAKINI SIYO MBAYA KUJIKUMBUSHA. (TAFSIRI)


  1. Mwili kukingwa na kupata mafua ya marakwa mara kwasababu ya kinga mwili inayopambana na maambukizi itwayo imunoglobini A
  2. Wanawake hupata mzunguko wa hedhi usiyobadilika badilika kwasababu ya kupata homoni maalumu za mwanaume zittwazo filemoni.
  3. Mwili kuwa imara kupambana na msongo wa mawazo.
  4. Kushusha mapigo ya moyo yaliyo juu, hii hukufanya ujiepushe na kupata magonjwa ya moyo.
  5. Kuondoa mafuta yenye madhara mwilini na kutengeneza mafuta yenye manufaa mwilini.
  6. Kuteneneza muonekano mzuri wa misuli ya mapajani namwili kwa ujumla.
  7. Kuongeza homoni ya kike itwayo istrojeni, hii humfanya mwanamke kuwa mrembo.
  8. Huongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu kwenye ubongo, kwasababu ya mzungumko mzuri wa damu wakati wa kufanya mapenzi
  9. Huongeza morali ya kazi na kufanya kujisikia vizuri kimawazo.
 
Ukitaka isikusumbue, piga ka konyagi kidogo

Basi inashuka tu

Mimi kiukweli sitaki kujifunza hii lugha ya Malkia ngumu sana bana halafu nikiisoma kichwa kinauma labda niwe na diklofenaki karibu
 
ni sehmu ya mazoezi ukiachilia starehe mnazo peana mkiweza kufika kilele cha kilimanjaro ni kama kutmbea maili saba kwa miguu jiulize baada ya shuhuli kuisha kunaaneye lala usingizi wa pono.anaeomba awashiwe feni.anayetoka jasho mwili mzima.utawasikia watu wakisema hakuna mwembamba duniani alikuwa mwembamba huyu wengi wao sababu ni hii
 
Back
Top Bottom