Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,667
- 171,794
he he he,duh,mie aku,ungekufa na hamu zako tu.
sitaki kutangulia mie
ha ha ha ungekubali tu mie ni king'anga' usipime....!!!
kupe cha mtoto.
he he he,duh,mie aku,ungekufa na hamu zako tu.
sitaki kutangulia mie
ha ha ha ungekubali tu mie ni king'anga' usipime....!!!
kupe cha mtoto.
KAMA ZINAFAHAMIKA ITAKUWA VEMA LAKINI SIYO MBAYA KUJIKUMBUSHA. (TAFSIRI)
- Mwili kukingwa na kupata mafua ya marakwa mara kwasababu ya kinga mwili inayopambana na maambukizi itwayo imunoglobini A
- Wanawake hupata mzunguko wa hedhi usiyobadilika badilika kwasababu ya kupata homoni maalumu za mwanaume zittwazo filemoni.
- Mwili kuwa imara kupambana na msongo wa mawazo.
- Kushusha mapigo ya moyo yaliyo juu, hii hukufanya ujiepushe na kupata magonjwa ya moyo.
- Kuondoa mafuta yenye madhara mwilini na kutengeneza mafuta yenye manufaa mwilini.
- Kuteneneza muonekano mzuri wa misuli ya mapajani namwili kwa ujumla.
- Kuongeza homoni ya kike itwayo istrojeni, hii humfanya mwanamke kuwa mrembo.
- Huongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu kwenye ubongo, kwasababu ya mzungumko mzuri wa damu wakati wa kufanya mapenzi
- Huongeza morali ya kazi na kufanya kujisikia vizuri kimawazo.
ha ha,unapewa kimoja tu kireeeefu,...ham lazima iishe.
kuna watu wanapenda kwenda raundi kibao,2+,wanaona sifa.
Piga moja tu ya maana kwa afya,,,,maisha matamu sana haya
Ubarikiwe kwa kuongeza siku za kuishi..si unajua kumchekesha mtu kipaji ati...BTW mzima weye?...