MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 815
- 420
Hakuna za Kiswahili ........ J2 kama leo kingereza huwa ni kigumu sana......
teh teh teh!
Hakuna za Kiswahili ........ J2 kama leo kingereza huwa ni kigumu sana......
heri wenye access
Mmmh! basi mie ntakufa soon coz had nmesahau mara ya mwisho ilikuwa lini
Once per week??? mbona kiduchu hivo....
kuna madhara yoyote kufanya mapenzi kila siku?
Kila siku?
mme wako atakufa mapema,reference ni Simba dume.
yeye ana ejaculate mara nyingi (5)+ kwa siku,kwa sababu hiyo
anawahi sana kufa kuliko simba jike (mke wake).
Mie sitaki kufa mapema mwaya,...kamoja tu kwa week/mwezi.
Sasa mawazo si ndio umeambiwa yana ondolewa kwa kupata dushelele, angalau mara 1 kwa wiki? Ama unaongelea mawazo gani?Nikiwa siumwi, sina mawazo nipo katika good mood,nna muda YES!!!!
Sasa mawazo si ndio umeambiwa yana ondolewa kwa kupata dushelele, angalau mara 1 kwa wiki? Ama unaongelea mawazo gani?
Ni kwa wote dada. Kazi ni kazi tuu haijalishi umeoa au haujaoa. Ukitaka kujua ukweli wa jambo hili chunguza mwanamke ambaye mume wake kasafiri mwaka mzima hayupo home, utaona mwanamke anakuwa mkali mkali (hasira) hata kwa kitu kidogo kisicho taka kuwa mkali. Magundigundi mabaya jamani.hii ni kwa walio balehe au wanandoa.
hilo swali niliuliza makusudi ili kupata uhakika wa mindset yako kwa hiyo umeamua kuruhusu watoto wote wanaoanza kubalehe kufanya mapenzi,siku hizi vingine vinabalehe 10yrs ili waondoe hizo gundi,kwa hiyo umeruhusu mimba za utotoni na kuruhusu uasherati au nimekosea.Kwa style hii hawa minor waliojiunga jf ni haki yao kuweka thread zao kuulizia mwenendo na mstakabali wa love life hivo tusiwatukane because we ripe what we sow.Ni kwa wote dada. Kazi ni kazi tuu haijalishi umeoa au haujaoa. Ukitaka kujua ukweli wa jambo hili chunguza mwanamke ambaye mume wake kasafiri mwaka mzima hayupo home, utaona mwanamke anakuwa mkali mkali (hasira) hata kwa kitu kidogo kisicho taka kuwa mkali. Magundigundi mabaya jamani.
Sijaruhusu watoto kuanza kufanya mapenzi wala kupata mimba za utotoni, Sayansi inasema tumia condom na watato hadi wa shule ya msingi wanafundishwa safer sex. Je hapo tusemeje? Tunafundisha kuwa karibu 90% ya maambukizi ya ukimwi ni kutokana na ngono zembe. Je tuwe tunadanganya kwa watoto? Sayansi haibagui inaeleza kilakitu wazi. Ila cha msingi tuseme wadogo zetu wawe na subira hayo mambo watayakuta. Concern yako nimeielewa vizuri.hilo swali niliuliza makusudi ili kupata uhakika wa mindset yako kwa hiyo umeamua kuruhusu watoto wote wanaoanza kubalehe kufanya mapenzi,siku hizi vingine vinabalehe 10yrs ili waondoe hizo gundi,kwa hiyo umeruhusu mimba za utotoni na kuruhusu uasherati au nimekosea.Kwa style hii hawa minor waliojiunga jf ni haki yao kuweka thread zao kuulizia mwenendo na mstakabali wa love life hivo tusiwatukane because we ripe what we sow.
Masikini namuua mwanaume wangu, nifanyeje sasa....
can't leave without it mie!!!!