FAIDA 7: Mwanamke Kua Mchepuko ( Japo Mara Moja Tu)

FAIDA 7: Mwanamke Kua Mchepuko ( Japo Mara Moja Tu)

Hasara japo moja tu ya kuwa na mchepuko kwa mwaname na mwanaume alie kwenye ndoa Takatifu, ni DHAMBI, hakuna dhambi inamuuzi Mungu kama ya uzinzi, maana unauchafua mwili ambao ni Hekalu lake Takatifu.
 
Nakata ujue kuwa na mchepuko si tabia njema wala si sifa nzuri ya kujisifia.
Mtakuwa mnavunja kiapo mlichokila mbele ya kanisa.. ndio maana wanandoa wanaochepuka ndoa zao haziend vizuri kabisa.. ni mikos na balaa
Jidanganye utakuja kujinyonga mchepuko ni chanzo cha maarifa
 
Back
Top Bottom