niambie boss
NimezisahauBoss andika hio website hapo juu, ikiisha ramadhan itawajibika![]()
Wanaume wachepukaji sio watu dada lolUkiwa mchepuko hata siku moja mwanaume hawezi kukuambia hana hela, anajua kesho utapata mwingine. Mambo ya hali mbaya anaambiwa mke nyumbani
Hahaha unaonekana mkweli sana, wengine full kujisifia na kudanganya aiseeKuna ukweli flanii hivii
Back in the dayss za ujanani
Nlihappen kuwa sidechic wa kigogo mmoja hiviiiiii
Mhh mambo yalikua ni motroo fayaa than i expected...he was very comforting and caring..anachepuka tunakwazana vipi kwa mfano
Bi mjengo alikua mbogoo mnoo i called one day bht mbaya
mi nkapiga kimyaaaa sikutaka laana za mke wa mtu
of cz sikua na shida nae kabisaa wala sikuhitaji mjibu mbovu cz makubaliano na Mumewe yalikua temporary tu
Ilitokea tu jmn cz nmetongozwa na mimi na hadi kukubali ilikua mbinde sana..in short sikupanga wala kuwinda

Hii sio kweli kabisa
Ni kweli kabisa. Lakini hata ukifanya na asiye na mke as long as hamjaoana unakuwa unatenda dhambi ile ileHasara japo moja tu ya kuwa na mchepuko kwa mwaname na mwanaume alie kwenye ndoa Takatifu, ni DHAMBI, hakuna dhambi inamuuzi Mungu kama ya uzinzi, maana unauchafua mwili ambao ni Hekalu lake Takatifu.

. 



Kuna ukweli flanii hivii
Back in the dayss za ujanani
Nlihappen kuwa sidechic wa kigogo mmoja hiviiiiii
Mhh mambo yalikua ni motroo fayaa than i expected...he was very comforting and caring..anachepuka tunakwazana vipi kwa mfano
Bi mjengo alikua mbogoo mnoo i called one day bht mbaya
mi nkapiga kimyaaaa sikutaka laana za mke wa mtu
of cz sikua na shida nae kabisaa wala sikuhitaji mjibu mbovu cz makubaliano na Mumewe yalikua temporary tu
Ilitokea tu jmn cz nmetongozwa na mimi na hadi kukubali ilikua mbinde sana..in short sikupanga wala kuwinda
Hahaha lolHahaha umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo. Mimi siku zote hakuna kitu nilikuwa napinga kama kuwa na mahusiano na mume wa mtu....sasa bwana kuna huyo mkaka/ mbaba tulitokea kuzoeana sana bila kuijielewa nikajikuta nimeingia kwenye mahusiano nae. Aisee huyu mwanaume alikuwa so caring, alikuwa mstaarabu sana na alikuwa na katika kipindi kifupi nilichokuwa nae nilijifunza vitu vingi sana.
His wife is also so nice mpaka leo sielewi kwa nini anahangaika na michepuko.
Siku moja alipata msiba kijijini kwao mimi nilijua ameenda na mkewe maana aliniambia hivyo wakati wa kurudi akawa ananitumia picha nikamuuliza umerudi peke yako akasema ndio basi nikajua mkewe kamwacha kijijini anamalizia matanga....bwana wee nakumbuka kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi ya shifti naingia jioni nilivyotoka saa nne nikakuta missed call tatu, kikawaida ilibidi nikaushe hadi kesho ila kwa vile nilijua wife hayupo nikapiga haikupokelewa, akanipigia...nikapokea haloo, sauti ya kike..akaniambia mwenyewe amelala ila nimeona umepiga usiku huu nikajua labda kuna dharula vipi nimuamshe? Nikasema hapana nitaongea nae asubuhi huku mapigo ya moyo yako juu.
Halafu hata hakumwambia kuwa kuna hawara yako alipiga, kesho tumeonana nikamsimulia wacha avunjike mbavu![]()
Ila miaka yote mpaka umri huu sijawahi kukutana na nice guy kama yule, kweli kizuri hakikosi kasoro. Nilivyombambia tuachane alikubali wala hakugomba kuwa nimekula hela zake yeye sijampa ingawa mpaka kesho huwa ananikumbushia eti khantwe sasa hivi tungekuwa na watoto wawili tunatafuta wa tatu![]()
Yeah inatokea tena mimi alishawahi kunikutanisha na mkeweHahaha lol
Maisha safari sanaa
Nlikua napinga mnoo kuwa na mme wa mtu
Kumbe smtimes ni situation tu inatokea wala hata humuwindi mtu wala nini
Ps:nakemea wale wawindaji haramu lol

(wakati tumeshaachana) kuna kazi alinipa sasa wakati nampelekea akawa yupo na mkewe wana safari zao...moyoni nikasema mmh hivi huyu dada siku anagundua mimi natoka na mumewe atanifanya nini na hivi tayari ananijuaIla kuna faida zake

Nimefukuzwa kwaajili ya utoro, wizi darasani na kutongoza walimu wa kike.Dogo umerudi shule