Fahari ndio mama wa ujinga

Fahari ndio mama wa ujinga

kwani walipowapa pilau na t shirt mulizani hela wanaokota ndo wanajirudishia gharama zao au munaposema tukobize hatuwezi kwenda kuwapigia watu kura ndo kubali matokeo ya watu kukuchagulia kiongozi si ulikua bize na mi nasema bado sana kuleni kuleni ili ile mijinga huenda ikazinduka au wakamaliza ubize wa kuuza karanga na big g ili siku moja wajue umuhimu wa kupiga kura.
 
Takwimu zinaonyesha kuwa jengo letu la bunge linakamata nafasi ya pili au ya tatu Afrika kwa uzuri na ukubwaView attachment 208671kwa maana hiyo hata gharama zilizotumika kulijenga ni kubwa pia!! Lakini wakati huohuo huu ndio uhalisia wa huduma muhimu za kijamiiView attachment 208672madarasa, walimu na vifaa vya kufundishia havitoshi,View attachment 208673wagonjwa wanalala chini, dawa hakuna na vifaa tiba piaView attachment 208673maji safi na salama ni kitendawili sehemu kubwa ya nchiView attachment 208675ukosefu wa ajira na kipato unasababisha wazazi wengi washindwe kuwapeleka watoto shule

Ukija kuangalia bajeti ya kukarabati nyumba ya gavana wa benki kuu au ikulu yetu unajiuliza kama watoa maamuzi wetu ni watu na akili zao au ni wendawazimu?

Unajua mda mwingine najiuliza hili, hivi mpaka uwe kiongozi unayetembelewa na uwatembelea viongozi wa mataifa makubwa masharti ya visa yako ni lazima uwe na wananchi wenye maisha kama picha hizo zinavyoeleza!!!? au ni UJINGA wakutokujua nini maana ya UONGOZI?
 
kwani walipowapa pilau na t shirt mulizani hela wanaokota ndo wanajirudishia gharama zao au munaposema tukobize hatuwezi kwenda kuwapigia watu kura ndo kubali matokeo ya watu kukuchagulia kiongozi si ulikua bize na mi nasema bado sana kuleni kuleni ili ile mijinga huenda ikazinduka au wakamaliza ubize wa kuuza karanga na big g ili siku moja wajue umuhimu wa kupiga kura.
samsun si kosa lao wanahitaji kuelimishwa na kamwe chama chawala hakiwezi kufanya hivyo bali upinzani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom