Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,117
Takwimu zinaonyesha kuwa jengo letu la bunge linakamata nafasi ya pili au ya tatu Afrika kwa uzuri na ukubwa
kwa maana hiyo hata gharama zilizotumika kulijenga ni kubwa pia!! Lakini wakati huohuo huu ndio uhalisia wa huduma muhimu za kijamii
madarasa, walimu na vifaa vya kufundishia havitoshi,
wagonjwa wanalala chini, dawa hakuna na vifaa tiba pia
maji safi na salama ni kitendawili sehemu kubwa ya nchi
ukosefu wa ajira na kipato unasababisha wazazi wengi washindwe kuwapeleka watoto shule
Ukija kuangalia bajeti ya kukarabati nyumba ya gavana wa benki kuu au ikulu yetu unajiuliza kama watoa maamuzi wetu ni watu na akili zao au ni wendawazimu?
kwa maana hiyo hata gharama zilizotumika kulijenga ni kubwa pia!! Lakini wakati huohuo huu ndio uhalisia wa huduma muhimu za kijamii
madarasa, walimu na vifaa vya kufundishia havitoshi,
wagonjwa wanalala chini, dawa hakuna na vifaa tiba pia
maji safi na salama ni kitendawili sehemu kubwa ya nchi
ukosefu wa ajira na kipato unasababisha wazazi wengi washindwe kuwapeleka watoto shuleUkija kuangalia bajeti ya kukarabati nyumba ya gavana wa benki kuu au ikulu yetu unajiuliza kama watoa maamuzi wetu ni watu na akili zao au ni wendawazimu?



