Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

mrKey Milly

Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
29
Reaction score
24
FAHAMU ZAIDI:
Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
FAHAMU ZAIDI:
IT5/ Bati ya Migongo mipana rangi ya charcoal gray/ kijivu ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando

Mawasiliano : 0742897615
WhatsApp : 0656897614
Screenshot_20250818-095149~2.png
 
Back
Top Bottom