Fahamu zaidi juu ya ndege Bundi

Fahamu zaidi juu ya ndege Bundi

Kuna kitu kikubwa mno hujakisema kuhusu bundi. Ana uwezo wa kuzungusha shingo yake nyuzi 360. Mwili unaweza kutazama mbele lakini akageuza kichwa chote kutazama nyuma!

Kugeuza shingo nyuma Ni sawa na nusu duara yaan nyuzi 180... 🦉🌗
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu mmoja wizara ya pesa alikua anajitia mnoko na mfitini sana. Basi kuna mtu kachukua bundi hai. Kamvunja miguu na mabawa akiwa hai na kumfunga kitambaa chekundu mguuni na kilemba cheusi kichwani halafu kwa siri kubwa akavitumbukiza kwenye droo ya mnoko. Mbona palichimbika bila jembe mpaka mnoko akahamishwa idara.
 
Mwailongola,

Sasa kwa nini ukamfuata wakati unamuogopa?. Ni kweli hiyo ndio milio ya bundi. Lakini sio kwamba akilia lazima itokee misiba. Kama kwenye eneo lenu kuna miti mikubwa yenye uwezo wa kimficha bundi,basi hapo yanaweza kuwa maficho yake,na anaweza kuwa analia hapo mara kwa mara.

Kwenye mji wetu zamani kulikuwa na miti miti mingi mikubwa,mivule na mikuyu,basi mara nyingi walikuwa wanapenda humo,siku hizi miti mingi imekatwa. Zamani nikiwa mdogo watoto wengi tulikuwa tunaogopa sana mlio wa bundi,ukisikia analia unajifunika sana.

Hata wakubwa zetu walituaminisha kwamba ni ndege mbaya,anaashiria mabaya. Lakini siku hizi nikisikia mlio wa bundi naupenda sana,napenda nisikie hivyo ni mlio unaonibembeleza mpaka nalala. Milio yote miwili. (Wa dar haiwahusu)
 
Sasa kwa nini ukamfuata wakati unamuogopa?. Ni kweli hiyo ndio milio ya bundi. Lakini sio kwamba akilia lazima itokee misiba. Kama kwenye eneo lenu kuna miti mikubwa yenye uwezo wa kimficha bundi,basi hapo yanaweza kuwa maficho yake,na anaweza kuwa analia hapo mara kwa mara. Kwenye mji wetu zamani kulikuwa na miti miti mingi mikubwa,mivule na mikuyu,basi mara nyingi walikuwa wanapenda humo,siku hizi miti mingi imekatwa. Zamani nikiwa mdogo watoto wengi tulikuwa tunaogopa sana mlio wa bundi,ukisikia analia unajifunika sana. Hata wakubwa zetu walituaminisha kwamba ni ndege mbaya,anaashiria mabaya. Lakini siku hizi nikisikia mlio wa bundi naupenda sana,napenda nisikie hivyo ni mlio unaonibembeleza mpaka nalala. Milio yote miwili. (Wa dar haiwahusu)

niliskia siku moja kwenye mahali sjui n kweli au propaganda, kwamba kwanini bundi akilia mahali pengine unaweza kutokea msiba, wakasema n kwamba bundi anauwezo mkubwa wa kusense kitu kitu kinachoanza kuaribika( mzoga) ndo maaana anaweza akalia sehemu ambapo tyr ameshasense maybe mtu anakufa

iv n kwl au walikua wanatudanganya
 
Ni maswala ya imani tu. Nchi kama uingereza, bundi ni ndege wa bahati tofauti na kwetu ambapo ni ndege wa mikosi na nuksi. Pia baadhi ya makabila nchini hispania, bundi huchinjwa kama kitoweo kwa wageni wale wa heshima.
 
niliskia siku moja kwenye mahali sjui n kweli au propaganda, kwamba kwanini bundi akilia mahali pengine unaweza kutokea msiba, wakasema n kwamba bundi anauwezo mkubwa wa kusense kitu kitu kinachoanza kuaribika( mzoga) ndo maaana anaweza akalia sehemu ambapo tyr ameshasense maybe mtu anakufa

iv n kwl au walikua wanatudanganya
Sio kusense kitu kinachoanza kuharibika mkuu,Bundi ana uwezo wa kusense dead cells za mtu anapokaribia kufa kwahiyo ndio maana wanamzushia kuwa akitua kwako kuna mtu ataondoka,ana uwezo wa kusense hata siku mbili au tatu kabla huyo mtu hajakufa...
 
Back
Top Bottom