The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,444
- 12,214
- Thread starter
- #21
Maximum ni 270° mkuu. Mifupa na mishipa yake haiwezi kuruhusu mzunguko huo. Labda.....kama kaamua kujiua mwenyeweKwa kuongezea tu ni kwamba shingo yake ina uwezo wa kuzunguka nyuzi 360.
Sent using Jamii Forums mobile app