Fahamu vitu 15 kuhusu mnyama tembo

Fahamu vitu 15 kuhusu mnyama tembo

Mkuu niliwahi kuona tembo ile njia ya Iringa Morogoro yaani Mikumi pale kwenye jicho wote kama wanatoka machozi yaani machozi chini ya sikio tafsiri yake ni nn pale kwann wote kwa pamoja walikua vile???
 
1. Kuhusu kidevu naomba fafanua, mana nijuavyo beberu nae ana kidevu!

2. Tembo pamoja na uzito wake, ni ajabu anapotembea hauwezi kuskia mlio wa sauti za miguu yake!

3. Tembo dume milele hawezi kupanda na kumbandua mama ake, sio kama kuku ama Mbwa!

4. Tembo dume akishapiga bao (Lita 5-8) hapigi tena mpk baada ya miezi 6+

5. Mtoto wa Tembo anaacha kunyonya mara tu anapoota meno (tusks) reason behind, endapo atanyonya kipindi hiki, humuumiza mamake kwa pembe zake!

6. Tumekariri kuwa Maji ni tastaless and smell less. Tembo anapata harufu ya Maji yakiwa umbali wa maili 2. Na cha kufurahisha anajua mpaka direction ya Maji hayo!

7. Tembo ndio mnyama pekee, anakunywa Maji kwa kuyapitisha puani kwanza, then yanaelekea mdomoni.

8. Tembo ana ajabu lingine. Ana uwezo wa kudindisha Saa 4 asubuhi huku akitarajia kuja kubandua Saa 11 jioni. Hujaelewa. Tembo ana uwezo wa kudindisha DSM leaders club na akaenda kumgonga Tembo jike alieko Morogoro ama Tanga!

Fungal kazi:
Tembo anapokufa wenzake wanajua. Acha hiyo. Tembo anapokufa wenzake huomboleza, huumia. Tembo hujikusanya na kutafuta namna ya kumsitiri Mwenzao. Tembo huusukuma mwili wa marehemu mpk pahala wanaona panafaa, mara nyingi vichakani ama kama wakibahatisha shimo, humuacha hapo!

Kama unajisifu na vigoli vyako vi3 hata kikombe cha kahawa havijai, kidume Tembo anajaza gallon 1!
umeandika kwa mbwembwe hadi rahaaaa.
 
Ila wanajua mahabaaa!!! kumuandaa tu mwenza wake masaa 6 lol nyie madume wa kibinadam muige mfano wa Tembo sio kila siku dada zetu wanalia kwa kuchubuliwa.
 
Mkuu niliwahi kuona tembo ile njia ya Iringa Morogoro yaani Mikumi pale kwenye jicho wote kama wanatoka machozi yaani machozi chini ya sikio tafsiri yake ni nn pale kwann wote kwa pamoja walikua vile???
Itakua walikua wanaomboleza msiba wa mwenzao.
 
Tembo "wanahuwezo" ni matamshi ya Bukoba. Any way good story
 
tembo anatabua umri...... interesting!

mkuu lete na wa mnyama kima au manyani yale
 
Screenshot_20171202-203526.png
 
Duuh

Back
Top Bottom