1. Kuhusu kidevu naomba fafanua, mana nijuavyo beberu nae ana kidevu!
2. Tembo pamoja na uzito wake, ni ajabu anapotembea hauwezi kuskia mlio wa sauti za miguu yake!
3. Tembo dume milele hawezi kupanda na kumbandua mama ake, sio kama kuku ama Mbwa!
4. Tembo dume akishapiga bao (Lita 5-8) hapigi tena mpk baada ya miezi 6+
5. Mtoto wa Tembo anaacha kunyonya mara tu anapoota meno (tusks) reason behind, endapo atanyonya kipindi hiki, humuumiza mamake kwa pembe zake!
6. Tumekariri kuwa Maji ni tastaless and smell less. Tembo anapata harufu ya Maji yakiwa umbali wa maili 2. Na cha kufurahisha anajua mpaka direction ya Maji hayo!
7. Tembo ndio mnyama pekee, anakunywa Maji kwa kuyapitisha puani kwanza, then yanaelekea mdomoni.
8. Tembo ana ajabu lingine. Ana uwezo wa kudindisha Saa 4 asubuhi huku akitarajia kuja kubandua Saa 11 jioni. Hujaelewa. Tembo ana uwezo wa kudindisha DSM leaders club na akaenda kumgonga Tembo jike alieko Morogoro ama Tanga!
Fungal kazi:
Tembo anapokufa wenzake wanajua. Acha hiyo. Tembo anapokufa wenzake huomboleza, huumia. Tembo hujikusanya na kutafuta namna ya kumsitiri Mwenzao. Tembo huusukuma mwili wa marehemu mpk pahala wanaona panafaa, mara nyingi vichakani ama kama wakibahatisha shimo, humuacha hapo!
Kama unajisifu na vigoli vyako vi3 hata kikombe cha kahawa havijai, kidume Tembo anajaza gallon 1!