Fahamu undani wa mnyama simba

Sasa hapo kwenye kugegeda ndio amenimaliza........yaani anagegeda kila baada ya dakika saba duuuuuh
Na Hawa wasanii wetu wanaojiita Masimba na wao wana uwezo wa kugegeda kila baada ya dak 7?
 
Kingine ni kwamba simba hua hapendi dharau za kuchekewa chekewa kutaniwa

anakula kilo 15 baada ya hapo anapumzika kuwinda lakini hii haimaanishi kwamba nyumbu wanaweza kupita mbele yake akawaacha.
Na huwa anawagegeda Hawa ndara wanapopita jirani yake kila baada ya dak 7 endapo atachezea shalubu.
 

Mkuu:
Hivi kwenye pride hapo utakuta kuna familia nzima ( bibi,shangazi,Mama etc..) na baadhi wana uwezo wa kuzaa.
Je Simba dume anapokuja atakutana nao wote au atamchagua mmoja na hao wengine watahudumiwa vipi.
Je kwenye pride moja kuna uwezekano wa kuwa na madume zaidi ya mmoja?.
 


yaani kofi lake linauzito wa mfuko mmoja wa cement??mmh simba ni nomaa sana asee
 
Asante kwa taarifa.last week nilienda tarangile national park nilijifunza mengi kuhusu wanyama, ila simba sikumuona.nilijifunza linda milia zile stripes zake ni kama finger prints like mtu ana alama zake. Ila alietupeleka alisema simba ni mvivu huwinda masàa 3 kwa siku. Na hupendelea jioni .chui yeye hukaa peke yake peke yake na huwinda peke yake hana makundi
 
vipi kuhusu mnyama bea yy sio aina ya paka kwl??wanapatikana sana kwwnye baridi
 
Nashukuru mkuu kwa kunifahamisha vizuri sana na umeniongezea mnyama Puma asante, lakini nina swali,mimi nilivyokuwa najua mnyama Cheetah (duma) ndio mwenye spidi sana kuliko wote kumbe sio hivyo au sijakuelewa vizuri ??
 

Mkuu, ahsante kwa darsa.

Pia hii mipaka inaweza kuwa maili kadhaa na huwa simba dume anaunguruma kukumbushia kwamba ana mji wake hapo jirani na yeye yupo ana afya njema, rijali na atakemjaribu atakiona.
 
I think hapo kwenye kugegeda huwa ni kazi maalumu.
Ni sawa na ukiwa na mchepuko unapiga show kali ili hali ukiwa na wife unaweza kata wiki hata 2 bila show.
 
Mkuu unatisha. Heshima kwako
 
Heshima kwako kaka
 
Dah mkuu umefafanua vizuri sana asante sana, ila nngependa kufahamu habari za mbweha au mbwa mitwu mkuu ..itakuwa poa kama utaanzisha Uzi wake.
 
Kumbuka wanyama awafanya ngono kwa starehe kama sisi.wao mpaka wanawake wapate joto la kushika mimba na dume anapewa taarifa na jike kwa ishara zao maalumu
 
Sasa hapo kwenye kugegeda ndio amenimaliza........yaani anagegeda kila baada ya dakika saba duuuuuh
tatizo hagegedi kwa starehe.... najiuliza hizo mara zote sasa za nini?
.. Nani kakuambia simba hagegedi kwa starehe...? Ukitaka kujua ni kwa nini wanapeana mambo kila dakika cheki hapo.. We huoni hadi dume anafunga macho sababu ya kitu tamuuuuu...
 
H
View attachment 380230

.. Nani kakuambia simba hagegedi kwa starehe...? Ukitaka kujua ni kwa nini wanapeana mambo kila dakika cheki hapo.. We huoni hadi dume anafunga macho sababu ya kitu tamuuuuu...
Ahahaha duuh mkuu mbavu zangu kwahiyo hapo dume ndo katabasam au vip lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…