Fahamu uchawi na ulozi katika mapenzi

Wewe tafuta hela kuwa mbunifu kitandani hawezi kukuacha kwenye mapenzi hakuna ychawi
 


Mkuu hiyo romani i, nawezaje kuipata?
niko serious mkuu
 
KUNA STAR NAMPENDA HATARIIII SASA NATAKA NIMCHUKUE MM AMSAHAU HUYO WAKE MSHANA PLS
 
Mnatafuta wateja kwa nguvu kwa vile mnajua changamoto zetu.Sio kila changamoto lazima uresort kwenye uchawi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…