Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,007
- Thread starter
- #21
Kupata wanaume wa sampo yako bado ni wachache sn wengi bado ni wavulanaNamba 5 nakubaliana kabisa na wewe ingawa hata hizo namba nyingine zinaeleza ukweli.Kuna manzi yangu mwezi uliopita nilimpa senti kdg ya matumizi lakini nikaona kama anashukuru kwa kujivuta.Kesho yake kila nikimsalimia nikawa naona anajibu kwa kifupi sana kuliko kawaida nikasema kimoyomoyo huyu mwanamke hanijui sasa ngoja nimuoneshe.Ni wiki ya tatu sasa nimemkatia mawasiliano na sina mpango wa kumtafuta kabisa, akijiskia atanitafuta mwenyewe na asipojiskia basi bora tu aende kwa mwingine ambae anahisi atamtatulia shida zake zote.