Fahamu SIFA za mwanamke wa kuoa

Fahamu SIFA za mwanamke wa kuoa

Mwanamke sura, shepu haina dili siku izi mjini kuna madela ht miguu ikiwa bate bate huioni..
 
wewe wanawake huwajui wife vile nakutana nae hakuwa anaweza kumaliza soda moja baada ya kumuoa na kukaa miaka kuna saa namuuliza umekunywa soda ngapi leo anakwambia tatu namuuliza wewe mama nanii ukiwa bint mbona ulikuwa huwez maliza moja ?
 
Kila mtu ana matamanio ya kupata msichana bora katika maisha yake ya mahusiano.

Andika SIFA 3 unazofikiri ni nguzo kwa msichana bora kwako
 
Ukipata angalau sifa tatu kwa mtu mmoja katambike
 
Back
Top Bottom