Fahamu SIFA za mwanamke wa kuoa

Fahamu SIFA za mwanamke wa kuoa

Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha.

Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri.
Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa.

Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtamkia kwamba anataka kumuoa.

1. MWEYE MAPENZI YA KWELI
2.MWENYE TABIA NZURI
3. MWENYE UCHU NA MAENDELEO
4. ASIYEPENDA MAKUU
5. MVUMILIVU

Mwanamke ukiwa na sifa hizo tano hapo juu unauwakika wa 100% kuolewa.
ANGALIZO ASIWE MUMARANGU; MMACHAME NA MNYATURU HAO HATA WAKIWA NA HIZO SIFA KABLA YA NDOA WAKIINGIA KWENYE NDOA WANABADIRIKA MNO KWA KUWA WAO NDOA SIYO KITU CHA KUHESHIMU. SAMAHANINI LAKINI KWA WATAKAOKWAZIKA.
Nawasilisha!
 
Acha ubaguzi wewe❗➖mwanamke yeyote mwenye hofu ya Mungu anafaa kuolewa❗
 
wanyaturu sina uhakika nao sana na marangu.ila kwa machame naunga mkono hoja.kwakuongezea lipo kabila la wa rangi kama humrangi usijaribu.ila kwa makabila yote yaliyotajwa.wakioana wenyewe wanaish bila shida kwakua. zimwi likujualo
 
eti mapenzi ya kweli.... utajuaje....?
kabanga Wapo wanawake wengine ambao wanonesha wazi kutokuwa na mapenzi ya kweli bali wanakuwa na mapenzi ya kuzuga. Wanachotaka wao aidha kupata umaarufu tu kwamba yuko na mtu fulani ama kuweza kupata pesa alizonazo mwanaume lakini sio kwamba ana mapenzi ya dhati kutoka moyoni mwake.
 
Last edited by a moderator:
kama yupo mwenye hizi tabia hapa naomba ani PM maana nishawatafuta sana nimewakosa !! (seriously)
 
sasa hao waolewe na wakina nan?? Kwanza wa2 wanatofautiana,usiwafananishe wa2 eti kisa ni kabila moja.
 
Itakuwa bahati kweli kumpata mchumba mwenye sifa zote hizo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom