Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hamna namna mkuu.Aah! Acha tupambane na hali zetu.. na sie tuwe kama Elon.
Mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo.
Nasi tunajivunia vya kwetu...na hali yetu.
Maadam hatulali njaa....basi acha tupambane na hali zetu kwa kweli.