Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Licha ya kutangaza dau nono watu wengi sana walijaribu kudukua ila hawakufanikiwa.Kudukua ni kosa la jinai huku bongoland kwetu..
naogopa nikidukua nikapata hayo mabilioni...
yataishia kwa Dpp.....
huku Mie nikinegotiate kutokea jela....
wacha tukose wote tu
Ila unaweza jaribu ukafanikiwa ila ukaishia pabaya