Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Majina yote ya kilugha kwa wanyakyusa walitoa kutokana na tukio Fulani,mfano kuna ndugu yetu alipewa jina la tukhatele likiwa na maana tumechoka.alipewa jina Hilo kutokana na mama yake alikuwa akizaa watoto wanakufa,kwa hyo alivyozaliwa yeye wakasema wamechoka kuzika.mfano kyela kuna sehemu inaitwa ipyana jina Hilo lilikuja kutokana na wajerumani walikuwa wanawapa zawadi wazawa.wenyeji wakasema watu hawa wanna hekima.kwa majina ya sehemu au jina la mtu kuna tukio au sababu mpaka ikaitwa hivyo.
Basi hii nzuri,inabidi tuige huo utamaduni tuache kuita watoto wetu IAN
 
Ni sawa na neno tukuyu, jina Hilo lilitokana na mti wa mkuyu ambambo zamani ilikuwa sehemu ya kupumzika.watu walikuwa wakiacha kwenye shughuli zao wanaambiana tutakutana kwenye ule mkuyu sasa myakyusa kusema mkuyu alishindwa kutamka neno mkuyu ndio likatokea neno tukuyu.
 
Hapo bi mkubwa aliupiga mwingi!!
Kwa maelezo yake ana sema yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji pale hospital pia hakuwa na ndugu mkoa huo alikuwa mgeni so DR alimsaidia sana na kidonda chake hakikuwai kupona ndio akaamua anipe jina la Dr kama shukraani
 
Kwa jinsi alivyokupata kwa Tabu,lazima uwe mwanae kipenzi hata kama hasemi mdomoni!
 
Kwa jinsi alivyokupata kwa Tabu,lazima uwe mwanae kipenzi hata kama hasemi mdomoni!
😂😂😂 acha tu ndio jicho lake af mwenyewe toka utotoni alikuwa ana sema wewe ndio utakae kuja kunisaidia hao wengine buree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom