papag
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 1,367
- 2,068
- Thread starter
- #21
Hapo kwenye namba 3 ndio watu wengi wanakoseaMoja.
Kumcha Mungu na kumwogopa.
Pili. Kutii Amri zote za Mungu.
3. Uwajibikaji kila idara
4. Kujali.
5. Epuka siasa kwenye mapenzi.
6. Jua kuandaa na kuboresha na kunogesha lengo.
7. Kuwa na malengo mazuri maishani.
8. Nguvu ya pesa utakusaidia sana.
9.Tumia muda mrefu kuwa pamoja na kupanga na familia/mwenzi.
10. Chagua mwenzi sahihi sio kukurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua siku hiyo nilivuta na baba yako mzaziKuna siku nikiwa skul boarding nilivuta bangi nikaanza kuwafundisha watu vitu ambavyo hata mm sivijui naona na ww umefata nyayo zangu mkuu
Sent using Gun Trigger
you name it
Okay
Kuna siku nikiwa skul boarding nilivuta bangi nikaanza kuwafundisha watu vitu ambavyo hata mm sivijui naona na ww umefata nyayo zangu mkuu
Sent using Gun Trigger