Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,899
Hongera mkuu tpaul kwa utafiti wako. Lakini hiyo avantar yako ya kulialia inaniacha hoi mimi .Ndugu wanaJF, kwa ufahamu zaidi juu ya madhara ya uvaaji wa chupi na nguo za kubana, hebu someni makala haya hapa:
1. Utafiti: Nguo za ndani zachangia ugumba - Kitaifa - mwananchi.co.tz
2. Utafiti: Nguo za kubana zinaweza kusababisha saratani - Makala - mwananchi.co.tz
3.Suruali za kubana, nguo za ndani; muuaji wa kimya kimya - mwanzo - mwananchi.co.tz
CC: pierre tall kill JT2014 Swat shaks001 Honey Faith SaidAlly Mtoto halali na hela mshana jr Nokia83 OLESAIDIMU Kichwa Ndio Mtu masai dada
Daata mwallu Adrian Stepp papag mtengwa MziziMkavu
Hongera mkuu tpaul kwa utafiti wako. Lakini hiyo avantar yako ya kulialia inaniacha hoi mimi .
Halafu wakati wa uchaguzi munawachaguwa hao hao munao waita Viongozi Mafisadi? Utafikiri hakuna tena viongozi wazuri zaidi ya hao viongozi Mafisadi?Pamoja sana mkuu....tuko pamoja ktk kuelimisha umma. Hiyo avatar yangu inaashiria namna wananchi wanavyoumizwa na ugumu wa maisha wakati rasilimali za nchi zikiwanufaisha mafisadi wachache, ambao idadi yao haitindiki watu 100 ktk nchi nzima! Very sad and miserable!
Ndugu wanaJF, kwa ufahamu zaidi juu ya madhara ya uvaaji wa chupi na nguo za kubana, hebu someni makala haya hapa:
1. Utafiti: Nguo za ndani zachangia ugumba - Kitaifa - mwananchi.co.tz
2. Utafiti: Nguo za kubana zinaweza kusababisha saratani - Makala - mwananchi.co.tz
3.Suruali za kubana, nguo za ndani; muuaji wa kimya kimya - mwanzo - mwananchi.co.tz
CC: pierre tall kill JT2014 Swat shaks001 Honey Faith SaidAlly Mtoto halali na hela mshana jr Nokia83 OLESAIDIMU Kichwa Ndio Mtu masai dada
Daata mwallu Adrian Stepp papag mtengwa MziziMkavu
mi mwaka wa kumi na tano sivai chupi. Ni boxer tu. Mafanikio niliopata ni uume kukua na kurefuka kwa kasi na mbegu kuwa nyingi sana. Huwa naweza jaza kikombe cha chai! Sitanii!
Huko mtaani kwenu wote mnavaa?we lazima utakuwa mmasai kama sio basi makala ulizosoma zimeandikwa na mmasai looh, kuna mdada humu ndo niliwahi kumsoma kuwa yeye alishaacha kuvaa kyupi, wanaume wanaweza acha kuvaa ila wanawake lazima kuvaa maana bila kyupi utakaaje....
Kulia hakusaidii chukua hatua....Pamoja sana mkuu....tuko pamoja ktk kuelimisha umma. Hiyo avatar yangu inaashiria namna wananchi wanavyoumizwa na ugumu wa maisha wakati rasilimali za nchi zikiwanufaisha mafisadi wachache, ambao idadi yao haitindiki watu 100 ktk nchi nzima! Very sad and miserable!
haswa sisi tulozoa kuvaa visuruali vya ki model tena vya kitambaa alafu tumechimbia mashati kwenye hivyo visuruali, alafu vishati vyenyewe sasa si vifupi kiaina hivi,Chupi za kubana zinanisev sana..hasa kwenye pilikapilika za daladala
bila chupi inabidi utafute mbinu mpya ya kushindana na vishawish hasa kwa wadada wabinua matiti!!
we lazima utakuwa mmasai kama sio basi makala ulizosoma zimeandikwa na mmasai looh, kuna mdada humu ndo niliwahi kumsoma kuwa yeye alishaacha kuvaa kyupi, wanaume wanaweza acha kuvaa ila wanawake lazima kuvaa maana bila kyupi utakaaje....
Sio faida yeyote ya kutovaa chu**pi, hujaweza kueleza faida na madhara kwa wale ambao wanavaa
Swali: Kwa wadada wakiwa period waachie kama bomba la Dawasco?
Kwa wasafiri hasa DAR kwenye daladala wamesimama na kubanana kwa style zile unategemea nini pande zote zikiwa hawajavaa wakababanana mithili ile what do youe expect will happpen???
Akili za kuambiwa ............changanya........na kwako.......na za ................= Right choice & decision!
Mkuu, kwani kama usipovaa kuna mtu atakuja kukufunua nguo akuchungulie kama umevaa au la? Cha msingi ni kwamba usipovaa chupi, usimwambie mtu yeyote--wewe uchune tu wala hakuna mtu atakayejua--ni siri yako. Najua kuna baadhi ya watu (hasa wanawake) wakikuona hujavaa wanaweza kudhani labda wewe ni mchawi au umetumwa na sangoma kutokuvaa ili upate utajiri, lakini nakushauri watu kama hao wewe wapuuzie tu--kwa kuwa unaacha kuvaa kwa faida yako binafsi. Umeona eeh?kwa mwanaume naweza nikakubali bt kwa mwanamke haiwezekan eti usivae chup? mmmhhg utakuwa na matatizo
Huko mtaani kwenu wote mnavaa?
Hahahahaha! Utavaa bukta au lichupi linalopwaya, ilmradi tu lisibane nyeti na kuzinyima kupumua kwa ufasaha. Kwanza Wanawake wengi nowadays hawavai sketi na gauni--wengi wanavaa suruali--kama ukitinga suruali (isiyobana) nani atajua hujavaa chupi?
Nimeweka aina ya chupi yangu hapo juu, hujaiona?we bado unavaa?