grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Baelezee mamito...hujui tuu utamu wa chupi kwa wanawake ukoje.....
Baelezee mamito...hujui tuu utamu wa chupi kwa wanawake ukoje.....
Nimeweka aina ya chupi yangu hapo juu, hujaiona?
kubana dushe si tatizo tatizo ni vichupa
usibane korodan maana production ya sperm hucanyika kule
High temperature affects sperm production. It need a bit lower temperature than normal body temp for optimal production. Nguo zinazobana au uvaaji wa nguo nyingi huongeza joto eneo hili na kuaffect sperm production i.e. count, mobility, and overall quality.
Asante kwa kuzidi kutoa darasa mkuu. I hope the chupifilic people will ultimately learn the lesson and stop wearing such a life-threatening garment.
Rejea ukurasa wa 4 post no. 67....wapii umeweka, juu ipi? juu ya wapi na juu ya nini? Kwa hiyo huwa unavaa....
Mkuu kuna sababu ya kwanini p.mbu zikatengenezewa kifuko nje ya mwili. Kwani ulizani zilishindwa kukaa ndani kama maini au figo? Kwa kawaida optimal sperm production require a temperature of 1 or 2°C below the core body temp of 37°C. Utafiti uliofanywa Germany ukihusisha wanaume 30 umehitimisha kuwa joto linalozidi 37°C kwa sehemu hizi linaathiri sperm production.
Unaweza soma zaidi kwenye jarida la afya ya wanaume (men's health) kwa link hii The Effect of Heat on Sperm Production | Men's Health
we lazima utakuwa mmasai kama sio basi makala ulizosoma zimeandikwa na mmasai looh, kuna mdada humu ndo niliwahi kumsoma kuwa yeye alishaacha kuvaa kyupi, wanaume wanaweza acha kuvaa ila wanawake lazima kuvaa maana bila kyupi utakaaje....
Mkuu Ole,hili suala la chupi kuwa na madhara hasa kwa sisi wanaume ni kweli.Binafsi nimeacha kuvaa chupi takriban miaka 20 au chini ya hapo kidogo,na chanzo nilienda ka-Dispensary kamoja Magomeni mapipa mtaa wa Idrissa kanaitwa Kwezi. Kwa vile ni mkazi wa mitaa hiyo ilikuwa ni kawaida mimi na ndugu zangu matibabu kupata pale linapotokea tatizo la kiafya.Haha haaaa ingizo jipya hili "tamang'eo" poa mkuu utendee haki bhana watu huenda tuakaokota mawili matatu ya kunusuru ndoa
Mkuu, kwani kama usipovaa kuna mtu atakuja kukufunua nguo akuchungulie kama umevaa au la? Cha msingi ni kwamba usipovaa chupi, usimwambie mtu yeyote--wewe uchune tu wala hakuna mtu atakayejua--ni siri yako. Najua kuna baadhi ya watu (hasa wanawake) wakikuona hujavaa wanaweza kudhani labda wewe ni mchawi au umetumwa na sangoma kutokuvaa ili upate utajiri, lakini nakushauri watu kama hao wewe wapuuzie tu--kwa kuwa unaacha kuvaa kwa faida yako binafsi. Umeona eeh?
Mimi navaa hii wala hainibani, kitu kinapumua kama kawa...
Mwanamke una akili nyingi sana wewe, umejibu maswali yote kwa ufasaha....Naomba nikumiliki mimi tu, naomba jibu haraka unipoze roho yangu....Hahahahaaa mie nikajua umefunga tunguri nilipoangalia kwa haraka haraka looh, sasa.......
hehehehehhee hapo umefungia shingo ya kuku na mayai yake ya kuchemsha si ndio? halafu huku kwingine kunabaki wazi kunasitiriwa na suruali tuu......
Halafu ukitaka kuchii unafungua ukimaliza unafunga, najaribu kufikiri kama mnywaji wa bia amevaa hii na yuko baa kila baada ya dakika 20 ananyanyuka kwenda toilet nahisi mara 4 akinyanyuka anakiacha chooni au atakiweka mfukoni hahahahahaa. Daaahh haya bana kila la heri mie ndo naona mara ya kwanza hii, halafu naliona hadi jicho la kichwa mmmhhh nimejikuta nahemka kipolepole...... wacha nikimbie😛eep:
Nini dharura! wengine dushee zetu zisiposhikiliwa na chupi ukitembea hatua tano tu basi ile tingatinga mnyama anainuka!Sipati picha ingekuwaje hasa kwenye dharura za upepo kuteleza nk
Hahahahaaa mie nikajua umefunga tunguri nilipoangalia kwa haraka haraka looh, sasa.......
hehehehehhee hapo umefungia shingo ya kuku na mayai yake ya kuchemsha si ndio? halafu huku kwingine kunabaki wazi kunasitiriwa na suruali tuu......
Halafu ukitaka kuchii unafungua ukimaliza unafunga, najaribu kufikiri kama mnywaji wa bia amevaa hii na yuko baa kila baada ya dakika 20 ananyanyuka kwenda toilet nahisi mara 4 akinyanyuka anakiacha chooni au atakiweka mfukoni hahahahahaa. Daaahh haya bana kila la heri mie ndo naona mara ya kwanza hii, halafu naliona hadi jicho la kichwa mmmhhh nimejikuta nahemka kipolepole...... wacha nikimbie😛eep:
Mkuu Ole,hili suala la chupi kuwa na madhara hasa kwa sisi wanaume ni kweli.Binafsi nimeacha kuvaa chupi takriban miaka 20 au chini ya hapo kidogo,na chanzo nilienda ka-Dispensary kamoja Magomeni mapipa mtaa wa Idrissa kanaitwa Kwezi. Kwa vile ni mkazi wa mitaa hiyo ilikuwa ni kawaida mimi na ndugu zangu matibabu kupata pale linapotokea tatizo la kiafya.
Pale kulikuwa na daktari dada mmoja mchangamfu na mpenda utani sana kwa wagonjwa.Siku moja nilienda pale nilikuwa naumwa, sikumbuki nilikuwa naumwa nini lkn nakumbuka huyu dada aliniandikia sindano na yeye ndie alinichoma.
Siku hiyo kama kumbu kumbu zangu zipo sawa nilivaa zile chupi VIP, alipomaliza kunichoma na kuvaa viwalo vyangu, akaniuliza,"kwanini unavaa chupi?",wakati huo alikuwa kasogea hatua chache kutoka niliposimama,kabla sijamjibu akaendelea;"Chupi zina madhara kwa nyie wanaume".
Alinitajia madhara mengi ya kuvaa chupi lkn karibu yote nimesahau,lkn kubwa kbs ya madhara aliyontajia ambayo mpk kesho imebaki kwenye kumbu kumbu zangu, "Ni mbegu za uzazi kukosa nguvu kutokana na kubanwa koroda kunakoletwa na chupi ambayo pia huleta joto kali kunakosababisha koroda kukosa kupumua siku nzima.
Na hasa alisema madhara yanakuwa makubwa zaidi kwa sisi wanaume tunaotoka nchi za joto,alisema kwa huku kwetu chupi haifai kbs kwa wanaume kutokana na hali ya hewa yetu.
Kutoka siku hiyo mkuu mpaka nnavyoandika hapa mimi ni mtu wa bukta tu,nikipiga suit ndani bukta,nikivaa jeans mwendo wa bukta,na nikivaa Bukta ili niende kufanya mazoezi basi ndani kunakuwa na bukta nyingine.
Nakumbuka nilisoma tena kwenye yahoo miaka michache iliopita madhara ya uvaaji wa chupi kwa wanaume,kuu ya madhara hayo ilikuwa mbegu kukosa nguvu pia, na niliwahi kusoma kwenye gazeti la Mwananchi pia nalo lilisema moja ya athari kubwa kbs ni kupunguza nguvu za mbegu.
Mkuu mimi miaka mingi sasa sijui bei ya chupi ni bukta tu,wazee hapa kati kati ya mapaja yangu wananing`inia tu,nikipiga hatua mguu wa kulia nao wapo huko,kushoto wanafuata,nikipiga mawashi geri (high kick) nao wanaenda,huko ndani karibu mwaka wa 20 sasa wanakula upepo tu.
Kwani umeambiwa mninga wangu umegeuka kuwa tembele?Ha ha haaa Bujibuji haya dawa hiyo hapo: