Nimecheka sanaaa Cc; Nicas MteiSipati picha hujavaa chupi,umechomekea halafu upo ofisini kikatokea kitamanio,mara dushe hiyiooo kama mnara sijui utafanyaje halafu ndo boss kakuita ghafla unatakiwa usimame uende!Ni shidaaa.
Unaogopa?
Sipati picha ingekuwaje hasa kwenye dharura za upepo kuteleza nk
Aisee kumbee....kubana dushe si tatizo tatizo ni vichupa
usibane korodan maana production ya sperm hucanyika kule
Sasa nisipokuwa nayo nikiona na kutamani tena njiani si bitashindwa kutembea baada ya dushe kusimama
Haiwezekani ...lazima ivaliwe.
sawa mkuu, lakini ni vigumu kyupi kubana dushe ikaacha kubana vibuyu--na hivi hasa ndivyo vinavyoathirika na huo mbano kwa kuwa ndivyo viwanda vya kuzalisha sperms. suluhisho mujarab ni kuacha kabisa kuvaa chupi.
Sana........
Kwann unaogopa sasa?
Kwa nini nisiogope
Mwallu unapatikani na JF!safi sana,ile page yetu ya fb IFM Alumn imekufa kabisa
Kwa nini nisiogope
Nilikuwa na hako kamchezo hapana kuvaa pichu kabisa, ila kunasiku nilitupia kajinsi kangu ka Savco nikataka kutupa kojo pembeni barabarami La! si zipu ikang'ata kichwa ya mzee wa nyumba! Yowe la pale sijawahi kupiga tena mana kufunga zipu siwezi kushusha siwezi. Unajua mkojo ulienda wapi? Nipm upate jibu teh teh teh
Nn cha kuogopesha sasa hapo?
Kulala manyegu
Unatafuta bifu na wafanyabiashara wa hii bidhaa