Fahamu madhara ya kuvaa chupi

Sasa nisipokuwa nayo nikiona na kutamani tena njiani si bitashindwa kutembea baada ya dushe kusimama

Haiwezekani ...lazima ivaliwe.
 
Sasa nisipokuwa nayo nikiona na kutamani tena njiani si bitashindwa kutembea baada ya dushe kusimama

Haiwezekani ...lazima ivaliwe.

Kweli hizi boxer zinasaidia mengi njiani.
 
sawa mkuu, lakini ni vigumu kyupi kubana dushe ikaacha kubana vibuyu--na hivi hasa ndivyo vinavyoathirika na huo mbano kwa kuwa ndivyo viwanda vya kuzalisha sperms. suluhisho mujarab ni kuacha kabisa kuvaa chupi.

mmh sa hiyo tupo kwenye daladala upo nyuma yangu hujavaa chupi si utanicha......a
 
Wjf ninaomba msaada mwanagu kapimwa anaumwa sikosel doct nifanyeje kupata tiba
 

hahahahaaah mbavu dhangu... Mnara wa babeli kufinywa na zipu huh!
 
Unatafuta bifu na wafanyabiashara wa hii bidhaa

Mkuu, soko la watengeneza chupi litakuwa halijaharibika hata kidogo...kitakachobadilika tu ni staili ya nguo wanazotengeneza....ama watengeneze michupi inayopwaya au wajikite kwenye utenegenezaji bukta, basi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…