FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe.
Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa (Patient number 1) ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataambukiza tena na lockdown itahitajika tena, na baada ya kukaa lockdown miezi kadhaa idadi ya wagonjwa itashuka tena.
Ila kamwe haitafika 0, hivyo ili kunusuru uchumi itabidi tena muondoe lockdown, ambapo wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuusambaza tena na nchi itarudi tena lockdown kwa miezi kadhaa, idadi ya wagonjwa itashuka tena, na wataondoa tena lockdown ili watu wasife njaa, na wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuambukiza tena, mlipuko utarudi tena, hivyo lockdown tena itahitajika, na hii ndio YOYO effect.
Au ukitaka kuepuka YOYO effect wewe usiweke lockdown ila chukua tahadhari za social distancing, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, kuvaa barakoa na kunawa na kusanitize mikono mara nyingi uwezavyo, tembea hata na sanitizer mfukoni au ndoo ya maji na sabuni mgongoni, ili mradi mikono iwe salama, kuna mtu anaenda kuheshimika sana siku za usoni.
===============================
Update:
South Korea imekuwa nchi ya kwanza kupata YOYO EFFECT, baada ya kuondoa tu lockdown measures , mlipuko umerudi tena, na sasa wanajiandaa tena na raundi ya pili ya lockdown
================================
Update:
Sasa hivi UK wataingia kwenye YOYO effect, wanasema hali ya uchumi imekuwa mbaya mno na hali haivumiliki tena, kwahiyo itabidi watu warudi kazini huku wakichukua tahadhari ambazo hapa Tz tayari tumezichukua, na wanasema endapo wakiona hali ya maambukizi inarudi kuwa juu tena watafunga tena nchi na kuweka watu ndani kwa wiki kadhaa tena (YOYO EFFECT). Pia YOYO effect imeanza kuonekana WUHAN, case mpya 5 zimepatikana, means hao watano watakuwa wameambukiza wengine wengi, kwa sababu ni mgonjwa mmoja tu anahitajika kusababisha mlipuko.
source : BBC news
Update: 29/09/2020
Update: 10/10/2020
==================================
Update: 11/01/2021
==================================
Update: 01/04/2021
==================================
================================
Update: 22/07/2021
===========================
Update: 21/11/2022

Lockdown policy may lead to a yo-yo effect | New Scientist
www.newscientist.com
================================
Update: 22/07/2021
#COVID19 - Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
www.jamiiforums.com
===========================
Update: 21/11/2022