Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,228
- 866,557
Tairi au gurudumu ya ndege imeundwa kustahimili mizigo mizito kwa muda mfupi.
Idadi ya matairi yanayohitajika kwa ndege huongezeka kulingana na uzito wa ndege, kwani uzito wa ndege unahitaji kusambazwa kwa usawa zaidi.
#Antonov #An225 ina tairi 32.
Zipo tairi zina vipimo vikubwa kuliko zile za Magari makubwa ya kawaida.
Mfano,
Zaidi:
#AviationForums/authorities
#Wikipedia
#Quora
Idadi ya matairi yanayohitajika kwa ndege huongezeka kulingana na uzito wa ndege, kwani uzito wa ndege unahitaji kusambazwa kwa usawa zaidi.
Hii huifanya tairi kuwa na nguvu zaidi na kuipa mvutano mzuri zaidi inapotua.Tairi zimetengenezwa kwa angalau tabaka tatu za raba na kila safu imewekwa katika mwelekeo tofauti.
Ukiondoa sababu nyingine kama kupasuka au kuisha muda wake wa ubora, mara nyingi tairi hubadilishwa kila baada ya ndege kutua mara 120 hadi 500 kutegemea na sababu tofauti za kimiundombinu na kiuendeshaji.
Kwa kawaida matairi ya ndege hujazwa hewa ya naitrojeni ili kupunguza upanuzi na mnyweo kutokana na mabadiliko ya halijoto na shinikizo wakati wa kukimbia.
Mamlaka nyingi za usafiri wa anga huanza kuhesabu tairi mpya imeanza kutumika, pale tu inapofungulia kutoka kwenye karatasi hata kama haikufungwa kwenye ndege.
#Airbus #A380 ina tairi 22, na#Boeing #B747 ina tairi 18,
#Antonov #An225 ina tairi 32.
Zipo tairi zina vipimo vikubwa kuliko zile za Magari makubwa ya kawaida.
Mfano,
(Kumbuka, tairi nyingi za Lori husoma kuanzia 295/75R22) na kuendelea.Kipimo cha ukubwa wa Tairi kuu ya #Airbus #A330 husoma 1400x530R23.
Zaidi:
#AviationForums/authorities
#Wikipedia
#Quora