EngNicolaus
Member
- Nov 9, 2022
- 27
- 23
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.
Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210.
Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth (Bi-209) inakuwa bombarded na Neutron ili kuongeza mass number iwe 210( 209+1=210) na kufanya kupatikana Kwa polonium-210.
Polonium-210 ni radioactive isotope yenye half life ya siku 138.38.
Nchi ya Urusi huzalisha gram 8 Kwa mwezi ambayo huwauzia taifa la Marekani Kwa ajili ya matumizi ya kibiashara.
Baadhi ya matumizi ya kibiashara ni pamoja na Uzalishaji wa umeme ambapo gram moja ya polonium-210 inaweza kuzalisha Hadi 140 watt za umeme pia kwenye satellite za kutengeneza hutumika kama chanzo cha joto ghafi kuweza kuzipa nguvu " thermoelectric cells" zilizopo kwenye satellite bandia.
Nakaribisha mawazo na maoni ya wadau kuhusu mchanganuo huu