Fahamu kuhusu Polonium-210

Fahamu kuhusu Polonium-210

Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.

Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210.

Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth (Bi-209) inakuwa bombarded na Neutron ili kuongeza mass number iwe 210( 209+1=210) na kufanya kupatikana Kwa polonium-210.

Polonium-210 ni radioactive isotope yenye half life ya siku 138.38.

Nchi ya Urusi huzalisha gram 8 Kwa mwezi ambayo huwauzia taifa la Marekani Kwa ajili ya matumizi ya kibiashara.

Baadhi ya matumizi ya kibiashara ni pamoja na Uzalishaji wa umeme ambapo gram moja ya polonium-210 inaweza kuzalisha Hadi 140 watt za umeme pia kwenye satellite za kutengeneza hutumika kama chanzo cha joto ghafi kuweza kuzipa nguvu " thermoelectric cells" zilizopo kwenye satellite bandia.

Nakaribisha mawazo na maoni ya wadau kuhusu mchanganuo huu
Hivi polonium,si ya fahamika pia kama sumu hatari sana kwa viumbe au sio,na bahadhi ya nchi zimetumika dhidi ya watu wasopendwa.
 
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.

Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210.

Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth (Bi-209) inakuwa bombarded na Neutron ili kuongeza mass number iwe 210( 209+1=210) na kufanya kupatikana Kwa polonium-210.

Polonium-210 ni radioactive isotope yenye half life ya siku 138.38.

Nchi ya Urusi huzalisha gram 8 Kwa mwezi ambayo huwauzia taifa la Marekani Kwa ajili ya matumizi ya kibiashara.

Baadhi ya matumizi ya kibiashara ni pamoja na Uzalishaji wa umeme ambapo gram moja ya polonium-210 inaweza kuzalisha Hadi 140 watt za umeme pia kwenye satellite za kutengeneza hutumika kama chanzo cha joto ghafi kuweza kuzipa nguvu " thermoelectric cells" zilizopo kwenye satellite bandia.

Nakaribisha mawazo na maoni ya wadau kuhusu mchanganuo huu
Hapo CCM kuanzia Amos makala,wasira,nchimbi,mwiguru,mwana fa,lucas mwashamba,mwijaku na cccm wote wa JF umewatoa kapa
 
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.

Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210.

Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth (Bi-209) inakuwa bombarded na Neutron ili kuongeza mass number iwe 210( 209+1=210) na kufanya kupatikana Kwa polonium-210.

Polonium-210 ni radioactive isotope yenye half life ya siku 138.38.

Nchi ya Urusi huzalisha gram 8 Kwa mwezi ambayo huwauzia taifa la Marekani Kwa ajili ya matumizi ya kibiashara.

Baadhi ya matumizi ya kibiashara ni pamoja na Uzalishaji wa umeme ambapo gram moja ya polonium-210 inaweza kuzalisha Hadi 140 watt za umeme pia kwenye satellite za kutengeneza hutumika kama chanzo cha joto ghafi kuweza kuzipa nguvu " thermoelectric cells" zilizopo kwenye satellite bandia.

Nakaribisha mawazo na maoni ya wadau kuhusu mchanganuo huu
Asante kwa elimu, nilikimbia physics.
Kwa nchi kama yetu inatumikaje
 
Polenium 210 kwa mujibu wa wadau wa hapa jf, ni kwamba hii sumu ni hatari hata kwa yule mbebaji. Gharama ya kuinunua ni ndogo kuliko gharama za kuisafirisha.
Swali. KWA NINI LEO HII TUIJADILI HII SUMU?

Kuna maombi yanaendelea kufanywa kimyakimya. Na kawaidaa Mungu huwa anajibu maombi.
Maombi?. Maombi ya kumuomba Mungu aumbe Bismuth nyingi zaidi ili tuzalishe Polonium 210 kwa wingi,nchi ing'are kwa umeme?🤣
 
Element hii iligunduliwa na mwanamama Marie Curie (mwanamke pekee mshindi mara mbili wa tuzo za amani za Nobel katika kemia na fizikia). Ilipewa jina la Polonium kwasababu ya heshima ya nchi aliyo zaliwa, Poland.

Alifariki Julai 4, 1934 kutokana na athari za mionzi (irradiation sickness) lakin kutokana na half life ya element hiyo hususani ya isotope 209 (P209) kuwa na half life ya miaka 123.3+/-3.2 ilifanya mwili wa mwana mama huyo mashuhuri kuzikwa kwenye sanduku lililojengwa kwa kutumia Lead plate ili kuzuia mionzi hatari ya polonium inayoendelea kuzalishwa hadi leo hii kutoka kwenye mwili wake.
asante kwa elimu
 
Back
Top Bottom