Fahamu kuhusu msukule

Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!


Kizibo

Usiropoke kama mtu asiye na maarifa, labda utuhakikishie kuwa wewe ndiyo mchawi huwa unaenda kuwabeba na kuwachezea...siyo unasimuliwa alafu unakuja kutuaminisha hapa.

Na pia suala la mtu kwenda sana kanisani au msikitini siyo kwamba huwa anaabudu sana Mungu, siku hizi hata wachawi huenda kusali kwa hiyo kama hilo kanisa/msikiti imani yao ni ndogo lazima watachezewa.

Na usijetupa mfano wa makanisa kama ya Kina Nabii Joe Davie sijui mwamposa hayo hamna kitu ni makanisa ya mafreemasoni wale wale wa kwao wanaodanganya watu kwa miujiza sijui ya mafuta,chumvi na maji ya upako ila ni ushetani mtupu mle
 
Ona hii nguruwe!!!!


Cha ajabu utakuta Eti na wewe una Demu/mwananmke!!!!!
 
NAOMBENI MBINU YA KUMUANGAMIZA MCHAWI

Nataka kuitimiza amri ya Mungu kwa Mtesi wa Familia yangu kwa kutumia Amri ya Mungu, (KUTOKA 22:18 "USIMWACHE MWANAMKE MCHAWI AISHI")

Sihitaji mzunguko wa Maneno mengi nahitaji Mbinu tu basi.

AU KAMA UNA MJUA MTU MWENYE UWEZO USIO BABAISHA WAKUNIONDOLEA MCHAWI HUYU NA ILI KUONESHA UWEZO AMUONDOE KWANZA NDIO APOKEE MALIPO

NAOMBA UJE INBOX KAMA UNA UWEZO HIJALISHI MBINU MUHIMU UNIONDOLEE TU MTU HUYU FAMILIA IBAKI SALAMA.
 
Nunua panga kata ua
 
Mkuu dunia inakwenda kushuhudia ujio wa Misukule kwa kishindo.Inayoitwa chanjo ya C-19 nia yake ni kututanya Wanadamu wote tuwe Misukule mkuu.Ndani ya hiyo chanjo,kuna kitu kinaitwa "Software of life," ambacho ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Hii software itaweza ku-reprogramme DNA ili ufanye "watawala" wanachotaka.Kwa ujumla ni kwamba ukishapata hii therapy au shot,unapoteza kabisa ubinadamu wako.Ila tofauti na Zombies wale ambao wamepakwa dawa za Wachawi na hawaonekani kwa macho ya kawaida,Zombies wa C-19 shot,watakuwa wanaonekana.
 
Roho inawekwa ndani ya chupa au sio?
Jini anakuja kinyume nyume?
Aya bana.....ila nini hizi habari achaneni nazo hazinaga faida yoyote zaidi ya kukupa goosebumps tu
 
Nimepitia kurasa zote, sijaona maoni ya Mshana Jr!?
 
tanganyika
 
Unatofautisha vipi kati ya mtu aliemuweka Yesu ndani yake na ambaye hajamuweka Yesu ndani yake?

Na unajuaje huyu kachukuliwa msukule kwa sababu hajamuweka Yesu ndani yake na sio kwamba hadithi za Yesu ni za uongo tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…