Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Mimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalism
aisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juu
 
aisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juu
Mkuu na wewe unasumbuliwa hivyohivyo yaani sijawahi kujua kama kuna huu ugonjwa
 
aisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juu
Kwa dozi check post namba 17
 
Du ! pole kaka hupaswi kutumia vinywaji vyenye acid kabisa wakati unapata matibabu na pia vyakula vyenye viungo vingi vya chakula pilipili n.k na wapaswa kula kiasi usishibe Sana pia hiyo ni Flux acid ya tumbo ikirudi kooni inakuchoma kama moto inatokeza kiungulia ntafute 0769 74 55 33
Mkuu KIUNGULIA NICHO SANA HATA NIKINYWA POMBE KALI AU BIA NA BADHI YA VYKULA AU UBWABWA NA MAHARAGE HALAF NINYWE MAJI WE USIKU SILALI WAKATI MWINGINE HADI NIJITAPISHE ILE ACID NDO NILALE INAKUJA HADI MDOMON
 
Mzizi mkavu you are absolutely correct lakini brouh sahivi cemetidine,ranitidine,famotidine yani h2 blockers zote in PUD hazitumiki recent studies zinaonyesha mwisho wa siku wengi wanaotumia wana end up with CA's esp gastric carcinoma n zingn nying especially wenye GUDs....na refer to STG sasa brouh but all in all nathamini mchango wa herbalists wote Tanzania na wanatusaidia mengi na lengo letu sote ni moja kaka yangu asante sana
Treatment usually lasts no more than two weeks. Using two antibiotics instead of one may reduce your risk of antibiotic resistance. Antibiotics used to treat H. pylori include:..
 
Treatment usually lasts no more than two weeks. Using two antibiotics instead of one may reduce your risk of antibiotic resistance. Antibiotics used to treat H. pylori include:

  • amoxicillin
  • tetracycline
  • metronidazole
  • clarithromycin...
Na according to STG sasa PUD which is due to H.pylori anatumia dawa yaani whether Omeprazole 20mg P.O Bd for 10 to 14 days ataamua clinician na 2 antibiotics,metronidazole 400mg p.o bd pamoja na whether amoxicillin which should be 1g p.o bd hzo zte ni 10 to 14 days utaamua wewe

according to the state of severity and to pts who are contraidicanted to penicillin's you go with clarithromycin and to those with problems with metro you go with tinidazole..akimalza 14 days,place the pt in PPIs for one month to regulate gastric HCl to atleast give a room for an ulcer to heal....
 
Back
Top Bottom