Mapenzi ya ujanani hayana tafakuri ya matokeo na yajayo.... Na wengine hudanganywa ama kudanganyika... Dhana ya bahati mbaya ni matokeo ya kufanya kitu bila kupangaAsante kwa ujumbu mzito. Pamoja na hayo mimi ni Baba wa mabinti sina mtoto wa kiume. Hii dhana ya mimba za bahati mbaya naona inaanza kutumika vibaya.
Kwa ujumla ni upumbafu, sisi wazazi hatuwezi kukataa watoto ila hilo ni fundisho kwa wengine pamoja na mwisho wake kuwa mbaya.Mapenzi ya ujanani hayana tafakuri ya matokeo na yajayo.... Na wengine hudanganywa ama kudanganyika... Dhana ya bahati mbaya ni matokeo ya kufanya kitu bila kupanga
Mapenzi ya ujanani hayana tafakuri ya matokeo na yajayo.... Na wengine hudanganywa ama kudanganyika... Dhana ya bahati mbaya ni matokeo ya kufanya kitu bila kupanga
intoveta vs ekistirotaUkimya ni mbaya sana
Wapiga kelele huishi tu
Hupata muda kujadili
Hupata ufumbuzi wake
Hujikomboa na mabaya
Mawazo kukata tamaa
Naamini ukimya mbaya
Bazazi
Mapenzi ni ugonjwa!Nadhani mnakumbuka kisa cha huyu binti ambaye kwa sasa ni marehemu RIP [emoji1019] aliyejinyonga akiwa chuoni Iringa?
Huyu binti ni mmojawapo wa wahanga wa mimba za bahati mbaya? Mimba kabla ya ndoa... Lakini aliweza kuhimili kwa kupitia magumu yote mpaka kujifungua na hatimaye baada ya muda kuweza kuendelea na masomo yake ngazi ya chuo...
Kwa jinsi inavyosemwa mahusiano yaliyozaa mimba na hatimaye mtoto hayakuwa endelevu... Lakini binti akawa ana faraja kwa kuwa na mtoto mzuri wa kiume asiye na tatizo lolote....
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu.... Mtoto yule mzuri akatwaliwa na Bwana mwezi March mwaka huu akiwa na miaka 3... Jiweke kwenye nafasi ya huyu binti... Uyaone maumivu yake... Lakini mbaya zaidi, baba mtoto kwa sababu zisizojulikana hakufika msibani wala hakuhudhuria mazishi ya mwanae... Ikawa ni maumivu juu ya maumivu kwa mama wa mtoto.... Ila akafarijiwa na kufarijika kuwa hili nalo litapita!
Ikiwa ni chini ya siku 40 tangu msiba... Likatokea lingine kubwa zaidi na lililomuongezea maumivu mama mtoto marehemu..... Mzazi mwenzie yule aliyeshindwa hata kufika kaburini kwa mwanae akaoa / akafunga ndoa na mwanamke mwingine tena kwa sherehe!
Kumbuka mtoto alifariki March kwahiyo kwa vyovyote baba alioa mwezi April..... Compressed inner pains were too heavy to bear.... Mama mtoto marehemu akaamua kuchukua uamuzi aliochukua
Wote hawa sasa ni marehemu.... My apology kama picha zinakwaza ama kwa namna yoyote zitaleta maumivu kwa wengine View attachment 772106View attachment 772117
kuna wakati yakikuelemea unajikuta ujinga ndio suluhisho pekee. Kila mmoja anapenda kuishi, mpaka mtu akichukua uhai wake elewa yalomsibu ni makubwa. Cha kuomba Mungu ni kukupa ujasiri wa kukabiliana na chochote kitakachokusibu.Kujiua ni ujinga
We sema tu hayajakufika...pamoja na kwamba binadamu tumepewa akili kuna baadhi ya vitu huwa tunavifanya si kwa akili yetu na ndio maana kuna wataalamu wa saikolijia vile vile kuna wazee ambao kwa maeneo mengi huwa tunawatumia kama sehemu ya kutuweka sawa hasa tunavyofikwa na magumu. Ukimwona mtu kajinyonga kuna mambo mengi kichwani yamemzongonga lakini pia hajapata watu wa karibu wa kumtia moyo.Kujiua ni ujinga
Ni kweli mkuuBiblia inasema moyo una mawazo. Mawazo ya moyo kama hayajapata chakula chanya ambalo ni "neno" (Neno linaweza kuwa neno la Mungu au la binadamu) hali huwa sio nzuri.
Hakuna kitu kibaya duniani kama kukata tamaa. Kukata tamaa humfanya mtu asifikiri vyema na anaweza kufanya jambo mpaka ukastaajabu.