Fahamu kampuni 14 za magari zinazomiliki jumla ya 54 brands za magari

Google chrome

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
2,276
12,671
Ongeza kampuni nyingine na brand(s) zake
IMG_20180717_093152_029.jpg
 
Mbona siioni gari yangu hapo
Fiat wanatengeneza magari mengi na langu limo kwenye list
 
Volkswagen siyo watu wa mchezo mchezo pia mwenye makampuni ya Audi, Bentley, Bugatti, Lamborghini, Seat, Skoda na Scania

Ni kampuni kubwa ya kutengeneza magari katika Ulaya na ya tatu duniani.

Imetangaza ya kwamba inalenga kuwa kampuni kubwa ya kutengeneza magari duniani.
 
Back
Top Bottom