Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

Kwa kuongezea,

Wapake ayodini kwa ajili ya kuwaisha uponaji wa vidonda na kuzuia vimelea vingine kupenya.

Kuongozea na mboga za majani ni vyema pia kama utapata Mchanganyiko wa Vitamin (Dukani) hasa zile zenye Kiwango kikubwa cha vitamini A ukatumia.

Wacheki pia kama wanamafua, funua kope ucheki kama kuna utando mweupe. (Kama majibu yako yatakua ni chanya tumia pia na Dawa za mafua na wasafishe macho)
Mungu akuzidishie mkuu umenipa moyo sana nlidhan ni tatzo kubwa sana asante sana kiukwel walikula pumba tu wiki nzima bila mchngnyko wowote na walikaa ndani wiki nzima bila kutoka haya kdg nilisafiri nikaacha mtu ambaye hakuweza kuwatafutia chakula kinachofaa.
 
Tunauza vyungu vya Kukuzia Vifaranga. VinatumiA mkaa hauhtaji umeme sasa wengi wanafuga kisasa kwa unafuu kimoja kinahudumia had kuku 100 joto lake hudum kwa saa 12.Kimoja kinauzwa shs15000.Kwa dar unaletewa Hadi kwako mikoani tunatuwatumia Bila tatizo Kwann upate hasara za kukatikakatika kwa umeme na mvua zilizoanza. Tupo Temeke Vetenary karibu Na Lusaka Bar Piga 0764639286 au 0715476529 uhudumiwe.

images-1.jpeg

images-2.jpeg
2018-01-10-13-03-40-2105901430.jpeg
 
Habari za jioni. Poleni na majukumu mbalimbali. Nauliza jee soya ya kutengenezea chakula cha kuku NATO hutolewa magamba, kama ya uji wa lishe.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom