Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

Ahsante kwa topic murua mkuu. Dagaa wa aina gani wanahitajika? Unaweza kuchanganya vitu vyote hivyo kisha ukaenda kuvisaga kwa pamoja?

Shukran
 
Soya, soya maalumu ya mifugo au soya hizi za lishe? Pia kwenye kuku wa nyama maharage ya soya yanaweza tumika kwenye kuku wa mayai? Km chanzo cha soya kuku wa mayai?
 
Sio chokaa ya kujengea mkuu nenda kwa maduka makubwa ya mifugo waulizie nataka chokaa ambayo itumika katika utengenezaji wa chakula cha mifugo watakupatia
Hata ya kujengea unaweza kutumia ili mradi ichanganywe vizuri ndani ya chakula! Fahamu kuwa chokaa ni udongo! Kina mama waja wazito hula udongo, kwa ajili ya kuongeza calcium na Iron! Haina madhara kama ukizingatia uwiano!
 
Ahsante kwa topic murua mkuu. Dagaa wa aina gani wanahitajika? Unaweza kuchanganya vitu vyote hivyo kisha ukaenda kuvisaga kwa pamoja?

Shukran
Dagaa wanaoongelewa hapa ni dagaa wa mwanza mkuu. Ni vyema kwanza vikasagwa na inashauriwa machine iwe na sieve la atleast 4-12mm ili kupata size inayotakiwa then ndio unachanganya.
 
soya,soya maalumu ya mifugo au soya hizi za lishe?pia kwenye kuku wa nyama maharage ya soya yanaweza tumika kwenye kuku wa mayai.?km chanzo cha soya kuku wa mayai?
Soya ya kawaida hii mkuu.

Ndio waweza wapa hata kuku wa nyama na mayai pia mkuu but ukija kwa case hiyo kuna kiwango maaalamu kinatakiwa sio utumie mchanganyo wa hapo juu.
 
Back
Top Bottom