Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,930
- 13,013
Hapana. PayPal walinambia sheria za bongo hazipo sawa kwenye hizo ishu. Yaani Kenya wanatupitaTunapata wakati mgumu kweli kweli, unawafahamu exhcangepurse.com?
Hapana. PayPal walinambia sheria za bongo hazipo sawa kwenye hizo ishu. Yaani Kenya wanatupitaTunapata wakati mgumu kweli kweli, unawafahamu exhcangepurse.com?
Kenya wametupita kwa mengi wanapokea hela toka Paypal na Skrill kwenye M-Pesa sisi yani basi tu. Mtu inashindikana uza vitu Amazon hata onlineshop unashindwa integrate Paypal upate hela.Hapana. PayPal walinambia sheria za bongo hazipo sawa kwenye hizo ishu. Yaani Kenya wanatupita
Yeah, Kenya wana Pesapal ambayo nina mpango wa kusajili siku 2 hizi ili nitumie shopify.Kenya wametupita kwa mengi wanapokea hela toka Paypal na Skrill kwenye M-Pesa sisi yani basi tu. Mtu inashindikana uza vitu Amazon hata onlineshop unashindwa integrate Paypal upate hela.
Hiyo exchapurse unaweza change ela toka wallet moja kwenda nyingine mfano Paypal to Skrill au Payoneer lakini sijaitumia natafuta kama legit nakutana na maoni mbalimbali wengine wanaisifia wengine wanasema ni scam
Wana limitation ukifikia kiwango fulani au waka detect any suspicious activity wanataka uverify, halafu wewe kwa upande wako hauna tatizo sisi tuanongela kupokea hela Paypal Tanzania haipokei hela toka kwa mtu, ila kuweka hela kutoka account yako au kadi inapokea so wewe huna tatizoBinafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
Kenya wako vizuri sana sijui sisi tunafail wapi wazee wanaoongoza hizi institutions ni conservatives yaani wako mwaka 1995Yeah, Kenya wana Pesapal ambayo nina mpango wa kusajili siku 2 hizi ili nitumie shopify.
Kuna nyingine inaitwa 2 checkout hadi Congo inakubali sisi eti haipoKenya wako vizuri sana sijui sisi tunafail wapi wazee wanaoongoza hizi institutions ni conservatives yaani wako mwaka 1995
Hawa wazee hawa basi tu yani mambo mengine yanatia hasiraKuna nyingine inaitwa 2 checkout hadi Congo inakubali sisi eti haipo
Binafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
Unaweza kupokea lakini huwezi kukwepa makato mimi naweza sema ni commission ambayo PayPal wanapata kuwezesha hiyo transaction. Lakini kwanini ukatwe fedha uliyoitolea jasho kirahisi hivyo wakati kuna huduma au jia ambazo hukatwi hata senti? Kwa mfano Kupokea malipo kutumia Bitcoin, ethereum au altocoin. Hukatwi, hakuna kodi wala commission yeyote. Amka!
Ukiwa laini ya Safaricom Kenya inawezekana % zote.. Ndo tunatumia miaka nenda rudi paypal account ya Kenya hapa TZ bila shida!Mkuu unafunguaje account PayPal na ili uweze kulipwa na kulipa?
Inawezekana kupokea pesa kwa paypal kutoka nje?Ukiwa laini ya Safaricom Kenya inawezekana % zote. Ndio tunatumia miaka nenda rudi Paypal account ya Kenya hapa Tanzania bila shida!
Yeah! Inapokea, kutuma na kutoa vizuri tu. Ukiwa na chip ya Safaricom Paypal & Skrill zinapiga kazi kama kawa Tanzania.Inawezekana kupokea pesa kwa paypal kutoka nje?
Ninayo account ya PayPal ila inatuma tu haipokeiYeah! Inapokea, kutuma na kutoa vizuri tu. Ukiwa na chip ya Safaricom paypal & skrill zinapiga kazi kama kawa TanzaniaView attachment 1279964
Accounts za PayPal za Tanzania ndivyo zilivyo. Hakuna namna zaidi ya kuruka boundariesNinayo account ya PayPal ila inatuma tu haipokei
Yeah! Inapokea, kutuma na kutoa vizuri tu. Ukiwa na chip ya Safaricom Paypal & Skrill zinapiga kazi kama kawa Tanzania.
View attachment 1279964