Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

Mkuu naomba nikuulize kitu kuhusu paypal, au kununua vitu kwenye mtandao, hivi zile bei wanazotaja zinakuwa zile zile au zinazidi, mfano kuna tablet inauzwa dola 300, je zitakuwa hizo hizo mpaka inanifikia au
 
Mkuu naomba nikuulize kitu kuhusu paypal, au kununua vitu kwenye mtandao, hivi zile bei wanazotaja zinakuwa zile zile au zinazidi, mfano kuna tablet inauzwa dola 300, je zitakuwa hizo hizo mpaka inanifikia au

Kama hiyo tablet unayonunua sehemu ya shipment yaani usafirishaji wameandika free basi ujue ni hadi inapokufikia ndio hiyo bei na kama wameweka hela ya kusafirisha lets say 45$ basi plus na hiyo 300 ndio utapata hela yote
 
Inachukua muda gan crdb kukuunga na online purchase ??? maana mi nina wiki mbili nasubiria sipati notification yeyote,na wakati fomu yao nilijaza
 
Techintz,

Mkuu nina swali. Je Card yangu haitakiwa kuwa activated na bank kwanza kabla sijaanza hii process? Maana naingiza card number na hiyo verification number lakini inasema haiiitambui card yangu
 
Card yangu ya VISA ilipotea nkaenda kupewa nyingine ya TemboCard-mastercard. Kila nikijarib ku-add another Card, Inagoma.Inasema What should I do!? Coz I need it badly.
Tembo card inakubali tumia CSV Pale ulipo sain kuna namba tatu za mwishi ndo hzo
Nimependa hii paypal kupitia mpesa account. Nadhani hii ni nzuri kwa mazingira yetu ukizingatia wachache wanazo bank account. Safaricom - M-PESA PrePay Safari Card
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom