Nizuri kufanya manunuzi online lakini mabenki yetu kwa sasa yamekuwa ya kubabaisha sana mfano unapofanya manunuzi kama yule anaetakiwa kukutumia mzigo haujafika kwa wakati na ukaclaim kwa maana ya kurudishiwa pesa hapo ndio utaona chamoto sijui tuma hiki unatuma subiri nyingi mpaka unakata tamaa inachukua mawiki kibao.