Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,656
- 3,436
Ha haa we jamaapamjela acha mchezo na hilo Scania 730 S halafu ni V8 engine mlio wake tu kinanda na maengine break siweki hata music nafyatua buuton C ya speed control mwendo na mm, maana speed limit na faini za Traffic nimefuta zote, basi mwendo ni kuwahi mizigo,
kweli Dunia yote ipo hapo maana maupepo ya break na kunesa utaota raha wanazopata madereva wa malori
asante Mkuu ngoja nianze na kupakua U Torrent kwanzaPakua hapa boss liko activated kabisa
Download Euro Truck Simulator 2 v1.34.0.17s (65 DLC)(2-click run) Torrent | 1337x
yaani nime mute Traffic offence nikaondoa na Truck speed Limiter halafu nikaweka speed ya gari ndogo 140km/h and over, hapo utajua uzuri wa Scania 730 hp V8 (piston 8) inavyovuta hakuna gari ndogo itasoge halafu unafungulia muziki wa Bolingo ni rahaje?
Mkuu msaada hapo nimekwamaKweli mkuu...mim natembelea volvo moja matata, mitaa ya urusi ,scania s nimepaki pembeni Sent from my SM-G920P using Tapatalk
una gereji ngapi ?Mkuu msaada hapo nimekwama
nataka niipaki Scania R 730 nichukue Benz au Volvo nia km 3,800,000 EURO kibindoni
sasa wananikatalia wanasema sina space katika Garage za kuingiza hilo gari
naingilia wapi? na je Scania langu R730 ndio linapotea?
Nunua garage kubwa mkuuMkuu msaada hapo nimekwama
nataka niipaki Scania R 730 nichukue Benz au Volvo nia km 3,800,000 EURO kibindoni
sasa wananikatalia wanasema sina space katika Garage za kuingiza hilo gari
naingilia wapi? na je Scania langu R730 ndio linapotea?
Nashukuru wakuu yaani nilikuwa sijui kabisa nimepekua company manager nikaishia njianiuna gereji ngapi ?
Nenda Company Manager (kulia chini ukiwa Home Page) > Garage Manager , chagua garage, click 'upgrade' then watakata ela
Gari halipotei mpaka uliuze mkuu
Mkuu nimekukubali, baada ya garage kubwa sasa nimeingiza VOLVO F16 XL GLOBETROTTER 750hpNunua garage kubwa mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu samahani. Hii haina serial numbers?Version 1.34 repacked
Download Euro Truck Simulator 2 [v 1.34.0.25s + 65 DLC] Torrent | 1337x
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu ongeza horsepower hizo...Mkuu nimekukubali, baada ya garage kubwa sasa nimeingiza VOLVO F16 XL GLOBETROTTER 750hp
nimeipumzisha ile SCANIA STREAMLINE 730hp na nilidhani ndio gari kubwa humu EURO TRACK
kumbe tembea uone sasa Mswedish kiboko natamani kuDownload zile njia za Russia huenda tukakutana na Volvo yako
Haina mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Haina mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ebu fungua folder yenye setup nione ilivyo
Sent from my SM-G920P using Tapatalk