Fahamu dalili za mwanamke anapompenda mwanaume

N
Acha kukwapua mataputapu. ...mwanamke anayejiamini hawezi kufanya upuuzi huo...tafuta mwanamke mwenye kwake pia. ..acha kulilia kwa uchaguzi wako mwenyewe wa wanawake wenye inferiority complex. ..
Mjomba mapenzi haryana sheria, ukishapenda hautakuwa na Muda wa kuangalia huko kujiamini
Hizo ni za miaka ya nyuma kidogo...siku hizi ukiwa na pesa hata asiyekupenda ata act hayo.
Haya aliyoandika ni mambo natural (asili)yaani yako katika jamii nyingi duniani
 
Tafta hela nyingi, nyingi sana. Hayo yote yatakuja tu automatically.
 
Mleta mada yupo sahii ila amjamuelewa akusema true love amesema mwanamke kuku love
Kunatofauti kati ya love na true love tusibishe bila akili
 
UKO SAHIHI MKUU
 
N
Mjomba mapenzi haryana sheria, ukishapenda hautakuwa na Muda wa kuangalia huko kujiamini

Haya aliyoandika ni mambo natural (asili)yaani yako katika jamii nyingi duniani
SAWA SAWA MKUU
 
Ndiyo maana unatakiwa kujicheki mwenyewe akili yako iko wapi kila sekunde! Walahi ni muhimu sana!
 
Back
Top Bottom