Fahamu chanzo cha wasomi wengi kutokufanikiwa kimaisha na kiutendaji.

Nimeitolea kama mfano tu mkuu,
Maana ndicho chuo watu wanakitumia kama reference ya watu waliokuwa ma best performers in school,

Mkuu labda wewe ulitaka nitolee mfano chuo gani labda kwa mfano,
Tuanzie hapo kwanza.
Utolee mfano vyuo vikuu vya Tanzania bila kuspecify Chuo. Hapo utakuwa neutral
 
Kwa hiyo msomi ni lecturer tu? Kwani Mengi, Rostam, Mafuruki sio wasomi?
Nimetolea mfano kwa ma lecturer kwa sababu sifa mojawapo ya kuwa lecturer ni lazima uwe na ufaulu mkubwa ( GPA kkubwa),

Mengi ni great thinker ndio maana kaajili wasomi wengi tu tena wanao mzidi elimu,
Anapiga pesa huku akiwa kivulini, kilicho mfanya awe na utajiri mkubwa sio elimu yake bali ni uwezo wake wa KUTAFAKARI na KUBUNI njia za kumtajirisha,

Kuhusu ROSTAM AZIZ kila mtu anajua haihitaji mjadala.
 
Nimetolea mfano kwa ma lecturer kwa sababu sifa mojawapo ya kuwa lecturer ni lazima uwe na ufaulu mkubwa ( GPA kkubwa),

Mengi ni great thinker ndio maana kaajili wasomi wengi tu tena wanao mzidi elimu,
Anapiga pesa huku akiwa kivulini, kilicho mfanya awe na utajiri mkubwa sio elimu yake bali ni uwezo wake wa KUTAFAKARI na KUBUNI njia za kumtajirisha,

Kuhusu ROSTAM AZIZ kila mtu anajua haihitaji mjadala.
Du ukiwa msomi maskini elimu haijakusaidia ila ukitajirika sio elimu yako ni uliowaajiri, unanichosha tu. Kwa heri
 
4b544c4db941395c6ce2f8c02dcf9f16.jpg
[/IMG]
 
Nikusaidie MEMORY ni eneo moja tu miongoni mwa maeneo yanayopimwa na mtihani.Anatafura wataalam wa saikolojia watusaidie zaidi.

Huyo Bharesa unayedai ameajiri wasomi tena toka Ulaya ambao ndiyo think tankers wake.

Nafuruki ni injiinia, Mengi ni mhasibu wa kiwango cha dunia.
 
Mkuuu, ua so brilliant and barainiac person. Mugabe alisha ongelea sana suala hlo. Wenye elimu ndogo sana ndo wenye mafanikio kiuchumi nami nina ushahd kedekede. Wasomi wengi ni salaries oriented and they don't cogitate beyond it.
 
Duckworth alitumia muda wake kujifunza kinachosababisha mtu afanikiwe. Alipopata majibu alishangaa. Sio IQ score wala sio GPA wala sio shahada ya chuo kikubwa duniani kinachosababisha mtu kufanikiwa.

La hasha, ila ni muunganiko wa ujasiri,uthubutu na hamu/passion ndio vilivyopo kwenye mioyo ya waliofanikiwa. Achievers they have GRIT.
Nimekuelewa Sana Mkurugenzi
 
Tatizo la vijana ni kudhani maana ya neno mafanikio ni sawa kwa kila mtu. Ukishajua kuwa kila mtu anatafsiri mafanikio kwa namna yake huwezi hangaika na mijadala kama hii. Kuna mtu hafikiri kuwa kama Bhakresa ili aone amefanikiwa. Anahitaji tu shughuli ya kumpa kipato, awe na makazi ya kudumu ya kwake na labda usafiri.
 
Elimu ina mchango mkubwa sana katika mafanikio ya mtu. Tatizo la watu waliosoma sana ni kubagua kazi yaani anaona bora akae tu nyumbani kuliko kufanya kazi yenye mshahara mdogo ukilinganisha na elimu yake. Mtu anasahau kwamba ukiwa na kazi ndo inakuwa rahisi kupata kazi. Pili waliosoma sana hawana uthubutu, yaani baada ya kumaliza shule wanaset mind moja kwa moja kwenye ajira kiasi kwamba wasipoipata kwa wakati wanaaza kukata tamaa na maisha, yaani hawana alternative . hapa ndo mtu anakaa nyumbani kwao zaidi ya miaka miwili bado anasubilia ajira!!!! . mwisho ni "time factor" mmemaliza darasa la saba wote kwa pamoja. Umefaulu unaendelea na secondary mwanzako kaingia zake mtaani kutafuta maisha .itakuchua miaka 11 kuendelea hadi kumaliza chuo kikuu na hapo bado hujapata kazi. Huu muda wote kwa mtu aliyezama mtaani seriously anakuwa mbali sana kimaisha. Kwa hiyo tusidharau elimu ya mtu kisa hajafanikiwa kiviile kimaisha ila na waliosoma sana muwe flexible jamani. Si kila msomi lazima aajiriwe, mtoa mada kasema tusiwe tu na uwezo wa kukariri maformular darasani bali pia tuwe na uwezo wa kuthink deep.
 
Back
Top Bottom