Fahamu chanzo cha wasomi wengi kutokufanikiwa kimaisha na kiutendaji.

Mkuu PRONDO,
Achilia mbali huo mfano, vipi kuhusu utendaji kazi wa wasomi wetu hawa maprofesa kwa jamii nzima especially mawaziri,

TUMIA MUDA WAKO KIDOGO KUTAFAKARI
Mkuu tunahama topic? Anyway siwezi kufanya generalization. Kwenye utendaji wapo wa aina zote.
 
Unajua watoto wa Bakhresa wana elimu gani na wamesoma wapi? Na wana vyeo gani SSB group of Co? Ukipata majibu ya maswali hayo ndio utajua umuhimu wa elimu
 
Ni njia ya watu kutaka kuhalalisha ujinga. Elimu ni muhimu na wengi wenye standard life Duniani wana elimu hata kama sio filthy rich. Na matajiri wengi pia Wana elimu tofauti na wale wachache ambao hawana elimu
Mkuu Bufa,
Si kwamba nahalarisha ujinga bali tunawekana sawa, kuna watu wana amini kuwa wakisoma sana watatajirika, kinacho mtajirisha mtu ni THINKING na wala sio elimu yake aliyoipata kwa kuwa na uwezo mzuri wa kumbu kumbu (MEMORY).
 
Mtoa mada anachuki binafsi na UDSM. Kama hoja ni usomi wa ngazi ya Chuo kikuu au kuwa wa kwanza darasani why ulenge UDSM pekee?
 
Mkuu tunahama topic? Anyway siwezi kufanya generalization. Kwenye utendaji wapo wa aina zote.
Hatuhami topic mkuu,
Mbona kichwa cha habari chajieleza,
Ule ulikuwa ni mfano tu,

Nikukumbushe kidogo ,
Rejea wanasheria wakuu wa serikali wa miaka michache iliyopita jinsi walivyo tutia majarobuni na mikataba mibovu,

Ukimaliza bisha tena nikupe mifano mingine
 
Unajua watoto wa Bakhresa wana elimu gani na wamesoma wapi? Na wana vyeo gani SSB group of Co? Ukipata majibu ya maswali hayo ndio utajua umuhimu wa elimu
Mkuu naumbu,
Hujanielewa vizuri , nilichokisema ni kuwa kuwa mwanafunzi bora darasani, au kuwa na shahada nyingi hakumfanyi mtu awe na maisha ya kitajiri bali , utajiri unatokana na fikra za mtu katika kubuni mbinu za kujikwwmua kiuchumi ,

Unaweza kuwa na elimu ndogo na ukawaajiri maprofesa kama vibarua wako tena kwa kuwalipa mshahara wa kawaida tu.
 
Hatuhami topic mkuu,
Mbona kichwa cha habari chajieleza,
Ule ulikuwa ni mfano tu,

Nikukumbushe kidogo ,
Rejea wanasheria wakuu wa serikali wa miaka michache iliyopita jinsi walivyo tutia majarobuni na mikataba mibovu,

Ukimaliza bisha tena nikupe mifano mingine
Sipo hapa kwa ajili ya kubishana. Jumapili njema.
 
Wewe ndio haueleweki, unapima mafanikio kwa aina ya gari analoendesha mtu, typically mbongo
Mkuu naumbu,
Kuna vitu tunaita INDICATORS OF DEVELOPMENT, hakuna mtu anaye penda shida , achilia mbali huo mfano,

Muonekano wa MENGI na PROF MUHONGO,
Unaweza kukupa majibu kuwa nani ni tajiri kwa kuwatizama tu hatakama hukuwa unawafahamu kabisa.
 
Kuwa smart wa mavazi ni hulka ya mtu kuna maskini wengi wanamuonekano bomba kuliko Mengi
 
Kuwa smart wa mavazi ni hulka ya mtu kuna maskini wengi wanamuonekano bomba kuliko Mengi
Turudi kwenye maada,
Nitajie lecturer yeyote hapa BONGO ambaye ni bilionare au mwenye utajiri wa kutisha.
 
Mtoa mada anachuki binafsi na UDSM. Kama hoja ni usomi wa ngazi ya Chuo kikuu au kuwa wa kwanza darasani why ulenge UDSM pekee?
Nimeitolea kama mfano tu mkuu,
Maana ndicho chuo watu wanakitumia kama reference ya watu waliokuwa ma best performers in school,

Mkuu labda wewe ulitaka nitolee mfano chuo gani labda kwa mfano,
Tuanzie hapo kwanza.
 
Fanya hivi chukua population ya unapoishi, alafu angalia idadi ya maskini na watu wenye maisha ya kawaida (wanapata basic needs ba ziada), Angalia elimu zao, utakua umemaliza mjadala wako
 
Back
Top Bottom